rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Masikini simeon hashangilii anajua linarudi muda sio mrefu.
Nimependa staili ya Simeon, alizuia benchi kushangilia goli wamewaachia wachezaji wafanye yao uwanjani. Ingekuwa Mourinho tungemwona anakimbia mbio fupi(100M) kushangilia.