CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

......... Ya kale hayanuki! Njooni sasaivi muone moto!

kwa dizain hii wahispanyola wataendelea kumuona Morinyo kimeo milele,kwa kikosi kilekile,mwenzake katumia season moja tu kachukua UCL,mou kazi yake ilikuwa kugombania usupastaa na wachezaji wake.
 
Duh, ndiyo maana wajuvi wa mambo walisema It's not over till it's over.

Kapu la mayai waliokuwa wamebeba ATM wamefika kwenye mlango wao likadondoka na mayai yakavunjika yote. Wameachwa na harufu ya mayai.

Ndiyo maana napenda football.
 
hapana sitani maana agrregate inaonyesha ni 4-1 sasa hilo moja si ndio lile wamefunga ndani ya dkk 90

After 90 hawakwenda kwenye penalts but dakika 30 za nyongeza na ndipo mambo yakawabadilikia zaidi
 
Anaitwa Mr european nightmare carlo ancelotto...
Ana champions league 5.
2 akiwa kama mchezaji wa ile klabu boora kabisa yaani AC Milan na mbili akiwa kama kocha wa AC Milan pia.
Moja akiwa kocha wa Real Madrid...

Hakuna kama yeye
 
Sikutegemea Madrid wangewafunga magoli haya yote. ATM waliji-punch out baada ya dakika 70 wote walikuwa hoi. Next season Arsenal tunalibeba UCL. Final Arsenal 3-1 PSG You heard it hear first. Ma-hater msio katika UCL pingeni, LOL.
 
kwa dizain hii wahispanyola wataendelea kumuona Morinyo kimeo milele,kwa kikosi kilekile,mwenzake katumia season moja tu kachukua UCL,mou kazi yake ilikuwa kugombania usupastaa na wachezaji wake.
Mshenzi yule,alituharibia timu yetu na technic yake moja tu ya ku-park basi!
 
Back
Top Bottom