CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Ha ha haa,mzee wa matreni,atletico wameiga mpira wake leo wakaingia choo cha wajeda tena MPs....toba,hawa Madrid wasije wakamuangusha mzee wa watu Anceloti,wanamrusha juu juu,dah,furaha bhana!

Teh Teh Teh Teh

Mimi Jose tu!
 
Huyu jamaa ni huko vizuri, Na kwa umri wake Ana uwezo wa kuwa Na rekodi nzuri kuliko kocha mwingine...he's just great aisee!!

Kuna buluda mwingine anaitwa Marcelo Lippi,hawa ndio golden age coaches wa Italia,.Sijui kwa nini Lippi hataki kufundisha ulaya tena.yuko China huko na timu yake inasumbua sana kombe la Asia huko.
 
Unakuwa emotional mkuu, Someone anahitaji pongezi pia...zaidi ya miaka kumi ni RM na BARCA tu. Ni ATM ndo angalau wamejitahidi kuondoa hiyo hali. Hata ingekuwa wewe, kwa stage walofikia..ungekuwa emotional..

Bora walivyopigwa Hawa mburukenge!
 
Hongera kaka

Ahsante mkuu nilishangazwa na ukimya wako wakati mkuu wa mabuluda alikuwa na shughuli pevu leo ya kukulindieni heshima.

Nanyi hongereni sana mabuluda I wish bibi kizee next season shedo zimkolee aje kuuza sura UCL.
 
Ronaldo anachukua tena tuzo ya mwanasoka bora wa dunia
kwani amefika fainali na kuisaidia timu yake ya taifa kuchukua world cup maana mwaka wa kombe la dunia mwanasoka bora anatoka world cup
 
Ahsante mkuu nilishangazwa na ukimya wako wakati mkuu wa mabuluda alikuwa na shughuli pevu leo ya kukulindieni heshima.

Nanyi hongereni sana mabuluda I wish bibi kizee next season shedo zimkolee aje kuuza sura UCL.

Ha ha haa!hongera mkuu.mwakani bi kizee atarudi na mkongojo wake utavunjikia vichwani mwa watu,tena sie huwa specialist wa kuumbua mabingwa watetezi,muulize Ntuzu ana kumbukumbu mbaaaaaaaya sana na milingoti ya Turin!
 
Last edited by a moderator:
Ni kawaida ya mafukara wanapoona nyumba ya tajiri ikiungua wao kushangilia wakiamini chama chao hatimae kinapata mwanachama mpya tena wasiyemtegemea bahati mbaya hawatambui kuwa nyumba za matajiri zinakatiwa bima.

Ninachofahamu leo CR7 akishirikiana na wadau wenzie wa BBC ndani ya ardhi aliyozaliwa atakata kiu ya muda mrefu wadau wote Santiago Bernabeu kwa kutukabidhi ndoo la 10 ndani ya dkk 90.

Mtoto asili yake nepi na unapomvua asubuhi lazima ukute imeloana na imeongezeka uzito kwa mafurushi aliyoyaporomosha usiku.

cc. Kitoabu

YAMETIMIA, Kitoabu najua mida hii umeshatandikwa BAN uliyoiomba ila ukiwa kama guest saidia kum'bandua mtoto nepi kwa makini usiguse hayo mafurushi.
 
Atlético 1 - 0 Real. Goli litafungwa Kipindi cha kwanza, dk zamwanzo kabisa (8-20) litafungwa kwanjia ya kona. Kipindi cha pili Refa atajitahidi kuwabeba Real kwa kuwapa penalt ya utata lakini hilo halitakua suluhisho la Real kukalia kipande, mpigaji (Balé) atapaisha juu utafikiri anapopoa maembe njwanjwa. Mpaka dk 90 Atlético 1 - 0 Real.

edit report
 
Doh!leo Madrid watamuua mzee wa watu.Yuko kwenye meza mbele ya waandishi wa habari akianza kuhojiwa wakaja akina Marcelo,Pepe,Ramos na wenzie wanamdandia na kumtikisatikisa mabega huku wakiimba,wamechukua chupa yake ya maji aliyowekewa mezani wanamwagia yeye na waandishi ha ha haa!nilijua tu wakishinda hawa tujiandae na vituko vya Marcelo na Pepe.
 
Ha ha haa!hongera mkuu.mwakani bi kizee atarudi na mkongojo wake utavunjikia vichwani mwa watu,tena sie huwa specialist wa kuumbua mabingwa watetezi,muulize Ntuzu ana kumbukumbu mbaaaaaaaya sana na milingoti ya Turin!

Ahsante mkuu, namkumbuka vizuri bi kizee alinikosesha raha sana kipindi kile ana engine yake matat isiyokamatika NEDVED kila nikisogeza sura napigika, niliichukia sana Juve toka pale ila kwa sapot mliyonipa nami nafuta mawazo ntakuwa buluda kwa mkopo kupiga mechi za ndondo wakati mabingwa mara kumi wakiwa off.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haa!hongera mkuu.mwakani bi kizee atarudi na mkongojo wake utavunjikia vichwani mwa watu,tena sie huwa specialist wa kuumbua mabingwa watetezi,muulize Ntuzu ana kumbukumbu mbaaaaaaaya sana na milingoti ya Turin!

Bibi kizee Hana kitu siku hizi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom