CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Mods tunaomba walioahidi kupgwa ban kama R.M wasingepata ubingwa,wapewe wanachostahili..
 
  • Thanks
Reactions: prs
Invicible kuendelea kuona post za Kitoabu humu ni kushusha imani yetu kwa jf. Hata biblia inasema mtoto akiomba samaki usimpe nyoka.
 
Duuuuh!! RM Na LA DECIMA, BRAVO KWA CARLO ANCELOTTI...THE SO CALLED SPECIAL ONE COULDN'T....BUT THE INTELLIGENCT ITALIAN TACTICIAN JUST DELIVERED..
VIVA MADRID!!!



Yani Nyie bila kumtaja Mourinho Hamuoni raha? Mshindwe Kwa jina la shetani!
 
Its a heartbreaking to loose,Diego Simeoni anaingia uwanjani anataka kutupa masumbwi kwa mchezaji wa Real..mpira kwisney,hongera buluda wangu Anceloti!streghth in depth ndio kila kitu siku hizi,sio stupid defensive minded games,atletico wajilaumu wenyewe kwa dk 15 za mwisho za kipindi cha pili,ndipo ushindi wa Madrid ulipopatikana
 
Yani Nyie bila kumtaja Mourinho Hamuoni raha? Mshindwe Kwa jina la shetani!

sijasema kwa ushabiki mkuu, wala usiwe na hasira hivyo..huo ndio ukweli, alipewa miaka miwili/mitatu alishindwa, Carlo kwa msimu mmoja kafanya walichoshindwa wengi kwa miaka 12...you have to give credit to the guy bhana
 
So far ATM wamekuwa na msimu mzuri wa ligi na mashindano ya ulaya.

Ni mechi yao ya kwanza kupoteza kwenye mashindano haya na wana wachezaje wenye majina madogo tofauti na RM.

Kocha wao pia amewapa support ya kutosha na kudhihirisha kuwa pesa na kuwa na wachezaji wenye majina basi unaweza kuchukua makombe.

God bless ATM.
 
Mie nilijuwa wewe Real Leo Kumbe wapi Real. Madrid watabeba Sema Atletico nao wakiweza kupita beki ya kulia ya Real ndio weak na zikipigwa cross wanababaika ila Real Madrid wanabeba hii haifiki Penalt japo wanasema Mechi 5 za Final zilizoenda ET zilimaliza kwa Penalt. Mie nataka kuijuwa CL toka 99 mpaka hii 2014 kuna Final game ukitowa wa Europe ambayo mchezaji hakuna hata mmoja wa Brazil hakucheza Final ya CL lazima wawepo.


Europe mimi ninapenda timu moja tuu {yes moja tuu} na unaijua, World Cup timu moja tuu {Three Lions}
 
sijasema kwa ushabiki mkuu, wala usiwe na hasira hivyo..huo ndio ukweli, alipewa miaka miwili/mitatu alishindwa, Carlo kwa msimu mmoja kafanya walichoshindwa wengi kwa miaka 12...you have to give credit to the guy bhana

Kwanini usiwataje makocha wengine waliopita pale kabla ya Jose! Hamchoki tu kumtaja Jose?
 
Watu wanasema De Maria Man Of The Match kwa Maoni yangu Mie Marcelo ndio MAn of The Match.
 
Back
Top Bottom