CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Hehehehe kila mtu anapenda timu moja ila ukweli Leo ulikuwa kwa ATM hehehe World Cup Three Lion kazi ipo Leo Ronaldo hakucheza vizuri nikasema moyoni Anceloti amtoe ili magazeti Keesho yaandike C Ronaldo anataka kurudi Man United magazeti ya Britain yanafurahisha.

Hapo kwenye nyekundu sio kweli washabiki wa timu yako, ya rubaman wa darajani na noisy neighbour mnakuwa mnapendaga timu nyingi{mnashabikia timu zote hizo}

Leo sikushabikia timu yeyote, yeyote angefungwa sawa . ila ATM walikuwa wazembe, Ronaldo tatizo sifa mno
 
Anceloti atakuwa ameweka rekodi mpya,ubingwa Mara mbili kama.mchezaji na Mara tatu kama kocha
makocha wachache ambao waliyokuwa na mafanikio ya mpira na ufundi mafundi wengi wampira walikuwa wabovu kwenye mpira.
 
Hapo umeongea vzr lkn hapo mwanzo! Unajua ukimtaja Jose hovyo Ni sawa Na kigusa mutima wane!

Btw hongera sn Kwa Ancelotti

Bravo Sana kwa Ancelloti, hata sielewi nyie Chelsea mlimpiga chini kwa sababu zipi...huyu jamaa ni mzuri mkuu
 
Hapo kwenye nyekundu sio kweli washabiki wa timu yako, ya rubaman wa darajani na noisy neighbour mnakuwa mnapendaga timu nyingi{mnashabikia timu zote hizo}

Leo sikushabikia timu yeyote, yeyote angefungwa sawa . ila ATM walikuwa wazembe, Ronaldo tatizo sifa mno
Kama wewe na Man City hehe au Barca.
 
Sijui kwa nini Juve hupangwa kundi moja na timu zinazokwenda kubeba ubingwa.dah!tumechoka usindikizaji

sasa ikipangwa kundi lisiloweza kuchukua ubingwa ina maana bado ubingwa watachukua timu nyingine ya kundi jingine, hvyo basi nyie mna bahati kwani mna nafasi.
 
Bora walivyopigwa Hawa mburukenge! Tutakua Na Amani sasa
 
Anceloti atakuwa ameweka rekodi mpya,ubingwa Mara mbili kama.mchezaji na Mara tatu kama kocha

Huyu jamaa ni huko vizuri, Na kwa umri wake Ana uwezo wa kuwa Na rekodi nzuri kuliko kocha mwingine...he's just great aisee!!
 
Bravo Sana kwa Ancelloti, hata sielewi nyie Chelsea mlimpiga chini kwa sababu zipi...huyu jamaa ni mzuri mkuu

Roman anajua kufukuza makocha tu but Carlo amechukua ubingwa Italy,England,France na bado Spain huenda akachukua next season
 
hahah!mkuu mbona hasira tena,madrid wamekukamatia mtemi wako tena zilezile wamerudisha

Yani bora tu walivyopigwa! Tena km Huyu Simioni asipojiangalia ataharibikiwa Kabisa!
 
Usimtaje tu Jose tafadhali!

Ha ha haa,mzee wa matreni,atletico wameiga mpira wake leo wakaingia choo cha wajeda tena MPs....toba,hawa Madrid wasije wakamuangusha mzee wa watu Anceloti,wanamrusha juu juu,dah,furaha bhana!
 
C Ronaldo ndio atazidi kupata Pesa za kufanyia Plastic Surgery Anceloti Pure Italian haogopi wapi aende aje kuchukua timu ya Taifa tuone ya Tanzania yeye au Morinho. Tuone
 
Yani bora tu walivyopigwa! Tena km Huyu Simioni asipojiangalia ataharibikiwa Kabisa!
Unakuwa emotional mkuu, Someone anahitaji pongezi pia...zaidi ya miaka kumi ni RM na BARCA tu. Ni ATM ndo angalau wamejitahidi kuondoa hiyo hali. Hata ingekuwa wewe, kwa stage walofikia..ungekuwa emotional..
 
Ronaldo anachukua tena tuzo ya mwanasoka bora wa dunia
 
Back
Top Bottom