CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Its a heartbreaking to loose,Diego Simeoni anaingia uwanjani anataka kutupa masumbwi kwa mchezaji wa Real..mpira kwisney,hongera buluda wangu Anceloti!streghth in depth ndio kila kitu siku hizi,sio stupid defensive minded games,atletico wajilaumu wenyewe kwa dk 15 za mwisho za kipindi cha pili,ndipo ushindi wa Madrid ulipopatikana


Usimtaje tu Jose tafadhali!
 
Ronaldo katafta goli kwa udi na uvumba mpaka kalipata. Sio mbaya ATM watarekebisha makosa haya msimu ujao.

Nahisi hawa jamaa wa atletico msimu ujao watakuwa balaa zaidi.hawataishia hapa hawa.ni mabingwa walio katika building phase.
 
Europe mimi ninapenda timu moja tuu {yes moja tuu} na unaijua, World Cup timu moja tuu {Three Lions}
Hehehehe kila mtu anapenda timu moja ila ukweli Leo ulikuwa kwa ATM hehehe World Cup Three Lion kazi ipo Leo Ronaldo hakucheza vizuri nikasema moyoni Anceloti amtoe ili magazeti Keesho yaandike C Ronaldo anataka kurudi Man United magazeti ya Britain yanafurahisha.
 
Sijui kwa nini Juve hupangwa kundi moja na timu zinazokwenda kubeba ubingwa.dah!tumechoka usindikizaji
 
Kwanini usiwataje makocha wengine waliopita pale kabla ya Jose! Hamchoki tu kumtaja Jose?

Kwa vile yeye hupenda kuwa noticed kwa achievements zake, sasa asipokuwa na mafanikio..lazima tumseme, after all..is it two trophy less seasons for him??
Bravo kwa Ancelloti, kafanya walichoshindwa zaidi ya kumi kwa miaka 12..ain't a joke mkuu!!
 
Alonso asije akaenda kuvua suti kuvaa jezi Kama Terry hata Keane alikuwa Captain 99 ila haikumfanya a use suti avae jezi akabebe kombe Kama mtu aliocheza Final.
 
Ngoma ya kitoto haikeshi...vijana walizidiwa maujuzi ya kikubwa dakika za lala salama
 
Anceloti atakuwa ameweka rekodi mpya,ubingwa Mara mbili kama.mchezaji na Mara tatu kama kocha
 
Kwa vile yeye hupenda kuwa noticed kwa achievements zake, sasa asipokuwa na mafanikio..lazima tumseme, after all..is it two trophy less seasons for him??
Bravo kwa Ancelloti, kafanya walichoshindwa zaidi ya kumi kwa miaka 12..ain't a joke mkuu!!



Hapo umeongea vzr lkn hapo mwanzo! Unajua ukimtaja Jose hovyo Ni sawa Na kigusa mutima wane!

Btw hongera sn Kwa Ancelotti
 
Back
Top Bottom