Sikutegemea Madrid wangewafunga magoli haya yote. ATM waliji-punch out baada ya dakika 70 wote walikuwa hoi. Next season Arsenal tunalibeba UCL. Final Arsenal 3-1 PSG You heard it hear first. Ma-hater msio katika UCL pingeni, LOL.
Jeuri ya kushinda kijikombe cha FA baada ya ukame wa miaka rundo!!