Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
Jambazi langu Pepe lingekwepo lingemtonesha kidonda yule COSTA,ila Ramos atafanya yake.
ukiangalia historia real Madrid sio mabingwa mwaka huu
Hii mechi nani ni underdogs?
Ondoa shaka mkuu, we bofya DTV saa tatu na dkk 45.
Utajuaje na wewe ni mfuga maziwa!!Sikujua kama tuna Sheikh Yahya mpya siku hizi.......
Tiba
#Atletico leo. Nataka kumuona CR7 akimwaga chozi. Sijui kama itawezekana.
naona mambo tayari yameanza
Kwa mpira wa leo, lolote linawezekana
Hawa Atletico hawajatulia kumbe walikuwa wanamchezesha Costa ambaye hajapona vizuri dah
uliangalia euro 1992? Denmark walibeba doo wakiwa hawajaqualify. Yugoslavia ndio walikuwa wamequalify uefa wakawatoa kutokana na vita...unajua nini kilitokea? Waliondoka na ndoo. German, Netheland waliokuwa mabingwa watetezi, italy na england wote walirudi mikono mitupu. Atletico walikuwa hawatarajii kufika hapa. Juve, Bayern, Dortimund, barca, madrid na city ndio walikuwa mabingwa watarajiwa. Atletico wanapata ushindi, na kombe wanachukua
Alitaka kuweka historia ya kucheza fainali ya uefa