Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,914
- 10,273
Hii mechi inaweza kuwa kama Arsenal vs Barca 2006, Arsenal walipoteza ubingwa hivi hivi baada ya kuongoza kwa muda mrefu ATM wawe makini.
Arsenal ni wasindikizaji haya mashindano
Hii mechi inaweza kuwa kama Arsenal vs Barca 2006, Arsenal walipoteza ubingwa hivi hivi baada ya kuongoza kwa muda mrefu ATM wawe makini.
Arsenal ni wasindikizaji haya mashindano
Dah dakika za mwisho wanaharibu
Kombe linawenyewe hili na katika wenyewe King wa hili kombe ndio Huyo Real Madrid Tambara la kandanda au kabumbu anavyotamka Rubaman ndio kwanza linaanza.Hii mechi nani ni underdogs?