CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Sioni kama kuna matuta hapa,madrid wanaonekana wako na pumzi bado lakini lolote laweza kutokea.
 
Now Madrid will continue to give up everything.They have the psychological advantage.Atletico lazima wajilipue upya kiakili otherwise...or they need a killer goal from nowhere.
 
Dah dakika za mwisho wanaharibu
Mie nilijuwa wewe Real Leo Kumbe wapi Real. Madrid watabeba Sema Atletico nao wakiweza kupita beki ya kulia ya Real ndio weak na zikipigwa cross wanababaika ila Real Madrid wanabeba hii haifiki Penalt japo wanasema Mechi 5 za Final zilizoenda ET zilimaliza kwa Penalt. Mie nataka kuijuwa CL toka 99 mpaka hii 2014 kuna Final game ukitowa wa Europe ambayo mchezaji hakuna hata mmoja wa Brazil hakucheza Final ya CL lazima wawepo.
 
Back
Top Bottom