NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,974
- 1,210
Sioni kama kuna matuta hapa,madrid wanaonekana wako na pumzi bado lakini lolote laweza kutokea.
madrid wapi, maana wote ni madrid
Sioni kama kuna matuta hapa,madrid wanaonekana wako na pumzi bado lakini lolote laweza kutokea.
zote Madrid nategemea unamaanisha Real Madrid sio Fake Atletico.Hapa moja moja sasa. Madrid kwenda mbele.
Real wamenifurahisha sana!
zote Madrid nategemea unamaanisha Real Madrid sio Fake Atletico.
Mkuu kwani mpira umeshakwisha au bado unachezwa mpaka useme hivyo?Leo wametambua real sio barcelona.
bado naamini atm wanachukua
top 3 Leo Real Madrid mpaka sasa hivi ni 1.Marcelo 2. Sergio Ramos 3. Varane/modric. Chini Bale na Ronaldo