CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Hii mechi inaweza kuwa kama Arsenal vs Barca 2006, Arsenal walipoteza ubingwa hivi hivi baada ya kuongoza kwa muda mrefu ATM wawe makini.
 
Leo wametambua real sio barcelona.
 
Bale kakosa magoli kibao, CR7 kafichwa mfukkoni. Ronaldo atawapeleka dakika 30 za nyongeza hapa
 
Natamani ningeweka bet na co-worker wangu ningevuta $200 za ubwete, endapo mechi itaendelea kuwa hivi.
 
Back
Top Bottom