Hao waganga wakienyeji matapeli tu mpaka waganga wa hospitali kubwa siku hizi matapeli tu ila tukija kwenye mpira sio kwamba tunatabiri kwa mazambi ila ukweli tunaona Kama Real Madrid ndio anayo nafasi kubwa ya kushinda na si Atletico, hatufanyi ramli hapa, tunaomba mungu ila mwenyezimungu anampa mwenye bidii zaidi kwahiyo nafikiri Real Madrid watacheza kwa bidii zaidi.bila shaka wewe utakuwa ni mganga wa kienyeji.....!!!!
Hints zako ziko murua sana.