Chama kipya cha Umoja Party kitakapozoa wanachama wengi kwa msaada wa Zitto Kabwe

Nimesema kitagawa kura ambazo zilipaswa ziende Chadema tena zile za kanda ya ziwa!!!Mbona Wazito kuelewa!!?sijasema UP kitashinda dhidi ya Chadema!!!Mbona bandiko ni fupi SIO refu!!!?
Mzito kuelewa ni wewe you can't compare death and life.

Huko kanda tuna washabiki wa damu. Tulia dawa ikuingie.
 
Hizo ni hasira za mkizi ambayo ni furaha ya Mvuvi! Huwezi kujenga Chama eti kwa sababu una hasira ya Magufuli kusemwa vibaya! Ni ujinga na upoyoyo wa kutisha!
Umoja Party ni debe tupu!Jina lenyewe halina mvuto!
Huo ni Umoja wa Wapuuzi tu hakuna lolote!
Eti wanasimamia falsafa ya Magufuli.
Kwa taarifa yenu Magufuli hakuwa na falsafa yoyote ile kama hamjui na mjue sasa!
 
Back
Top Bottom