Mwalimu Nyerere hakukianzisha Chama cha CCJ. Isipokuwa hawa watu walioanzisha CCJ wanamtaja Mwalimu katika Katiba yao,wanamweka Mwalimu katika Katiba yao,kama njia ya kupata baraka ya Watanzania.
Hawajajitokeza,kwa nini tusisubiri wajitokeze kabla ya kutoa maoni kuhusu CCJ. Tusibiri. Tunachoweza kusema tu sasa,hatuoni hitilafu yoyote katika jinsi hiki Chama kipya kinavyoanzishwa...
ogopa sana maishani kuishi kwa kudhania....kuamini au kutoamini ni juu yako heri kuwa katikati ya A na B kuliko kuwa mtu wa kudhani
YES, you are; I will be back and state why. Mkuu, kumradhi, I need a little time (and hopefully you understand this).As I said before, I might be wrong lakini....
YES, you are; I will be back and state why. Mkuu, kumradhi, I need a little time (and hopefully you understand this).
Lakini, good analysis, nimegonga "THANKS" kuonyesha kuwa nimeukubali mchango wako!
I would prefer it termed as madai, and not tuhuma!Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba alizungumza na Habari Leo kuhusu tuhuma kwamba yeye ni mmoja wa mawaziri wakuu watatu wanaotuhumiwa kuunda CCJ, alisema hawezi kuzungumzia chochote kuhusiana na madai kuwa yeye ni miongoni mwa waasisi wa chama hicho.
I would prefer it termed as madai, and not tuhuma!
Neno hili linanyonga dhana ya demokrasia, na kutisha, likipanda mawazo mgando kuwa mtu kuhamia chama kingine ni dalili ya uhaini...huh!
CCJ mbona kimeanzishwa kwa mizengwe???tunahitaji kujua nani wanaunda chama hicho.
Hiki chama naona ni kama vile ku-test zari! Let's wait n c!
The timing of forming a new political party a few months before the general election leaves alot to be desired. If at all the so called VIGOGO within ccm are disgruntled with what ever is happenning in their party, the best thing they should do at the moment as a short term measure is root for the PRIVATE candidate impasse to be resolved under certificate of urgency at the court of appeal!! It is in the best interests of ccm that the case stalls for eternity!! I believe if private candidates are allowed, we shall see many of the current sitting MPs left out on the wayside enabling our parliament to be more effective than it is now!!
Waheshimiwa,
Pilikapilika za waandishi na michechoto ya baadhi ya viongozi wa CCM, vyama vya Upinzani na wananchi wengine kwa ujumla kuhusu CCJ inaashiria nini kama chama hicho kipya hakina jipya na hakiwatishi CCM? Vitisho kutoka kwa viongozi wa CCM kwamba watakaojiunga na CCJ watajimaliza wenyewe inadhahirisha jinsi viongozi hao wasivyotaka ushindani wa kweli. Watakaojiunga watajimalizaje wakati wameamua wao wenyewe kuunda chama kipya wakiwa na malengo yao na Katiba ya nchi inawaruhusu wafanye hivyo? Au CCM ina dhamira ya kuua demokrasia nchini?
Mwalimu Nyerere hakukianzisha Chama cha CCJ. Isipokuwa hawa watu walioanzisha CCJ wanamtaja Mwalimu katika Katiba yao, wanamweka Mwalimu katika Katiba yao, kama njia ya kupata baraka ya Watanzania.
Hawajajitokeza,kwa nini tusisubiri wajitokeze kabla ya kutoa maoni kuhusu CCJ. Tusibiri. Tunachoweza kusema tu sasa,hatuoni hitilafu yoyote katika jinsi hiki Chama kipya kinavyoanzishwa.
Sisi hatujafaidika sana na uongozi wa Jakaya Kikwete. Tunadhani kwamba viongozi ni lazima wawe watu of high moral calibre.Uongozi wa juu lazima wawe people of high moral calibre. We will not complain kama hatutapata nafasi ya kushiriki katika kuipora Nchi. Lakini at least we hope that there can be peace in our day to day life. Lakini yule kiongozi wa juu,akiwa siyo Mheshimiwa, in the real sense of the word,kwamba ni mtu anayefanya mambo ya heshima, ni mtu ambaye anataka kusikia mambo ya heshima yanafanyika katika himaya yake, basi, kutakuwa hakuna kipingamizi kwa minor official kufanya makosa, kama makosa ya kukiuka haki za binadamu.
Inakuwepo encouragement kwa watu wengi kufanya maovu wakati yule kiongozi wa juu anakuwa mtu of kukewarm morality.
Maadili mema yanapuuzwa, watu wanataka kushi maisha ya kidunia. Watu hawafanyi connection wanayotakiwa kufanya, kati ya ufisadi na hali yao duni ya maisha; tamaa za kutaka utajiri wa haraka, kuwasingizia makosa watu ambao hawana hatia, kwa sababu tu za kutaka kutajirika,au kwa sababu za kidunia, kuwatia hatiani watu ambao hawana hatia, matatizo yanayotokea kwa ajili ya ufuska na ukwere, mambo yote haya yanaonekana kuwa ni tofauti na dhiki zinazotufika katika Nchi. Kuzitakasa nafsi za watu ndio ufunguo wa maendeleo,siyo kitu optional. Haupaswi kuwepo huhur wa mawazo ambapo kila mtu yupo huru kufiria fiithy thoughts.
Kama Chama kipya kitaanzishwa na ahadi ya kuisafisha Nchi kwa nini wasiungwe mkono,kwa nini waitwe CCM B? Kwa hiyo tusubiri wiki chache tuone ni kina nani wanataka kuanzisha Chama kipya, na wana ajenda gani, na vyama vya Upinzani vilivyopo sasa hivi pia vina ajenda gani. Kwa sababu the time is nigh, Uchaguzi Mkuu ni lazima uanze sasa.