Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,460
Nafikiri ungekuwa unafikiri kabla ya kuandika jambo, hivi kweli CCM ni makini kwa kuwatumikia wananchi kwa yepi au makini kwa kushinda uchaguzi, tofautisha kushinda uchaguzi na utekelezaji wa ilani yake.
Umeandika kwa ushabiki zaidi ya mantiki yenyewe labda ungesema CCM huwa makini linapokuja suala la chaguzi inaweza ikapata hizo 70% lakini si kwa kuwatumikia wananchi.
Dah! Kaazi kweli kweli hivi mtu Makini atayesoma post yangu anaweza kufikiria kwamba mimi ni Mshabiki wa CCM? May be for those who think Locally, soma tena post yangu kwa Umakini rudia tena tena tumia akili yako may be utaelewa nini nazungumzia