Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 131
Mawazo yako ni mazuri. Ila cha kukumbuka ni kwamba katika siasa hakuna kanuni kama ilivyo katika masomo mbalimbali ya kisayansi kama hesabu,physikia na chemia.I agree with you kuwa The timing of forming a new political party a few months before the general election leaves alot to be desired. Zaidi ya hapo inaonesha kuwa wahusika wa hii CCJ huenda hawako makini na wamekosa dira nzuri na hatimaye kujikuta kumbe na wao ni walewale wanaofanya mambo ya kizimamoto.
May be what they want ni platform ya uchaguzi na wala siyo kufanya kazi ya kisiasa hasa kama opposition. I stand on chama tawala side lakini I have to pay my tributes to the opposition parties ambao wamekuwa katika kazi nzuri na ngumu ya kuwatumikia wananchi for the past four years baada ya uchaguzi wa mwisho.
Kati ya vyama hivyo tumeona jinsi ambavyo wamewafikia watanzania na wakawaelewa. Sasa kama hawa wengine nia yao ni kupunguza au kugawa kura za opposition ambao wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana nitasikitika sana japo siwezi kuwalaumu kwani wanatumia haki yao ya kikatiba hata kama hawaitumii kwa maslahi ya watanzania walio wengi.
Hivyo CCJ sio chama cha kubeza katika mapema hii chochote chaweza kutokea. Upinzani dhaifu unaoonyeshwa na vyama vingi vya siasa vilivyopo sasa kisiwe kigezo cha kubeza kila jaribio hivyo tutegemee chochote.