akashube
JF-Expert Member
- Dec 24, 2009
- 401
- 24
Mkuu AKASHUBE,
Mimi siko huko kwa kikao cha dharura hata kidogo.
Ni masuala ya kuwa wakweli tu.
Kwa mpiganaji hilo linafahamika na kama mwana JF umeshaelewa mlengwa wa post ile ni nani, na kwa kuwa wakweli ni kwamba umechokoza kwenye angle nzuri, ila CCM wanaotarajiwa kuingia CCJ baadaye wanaisoma hii sasa hivi. Wapinzani hawajalala isipokuwa kuna wapinzani hewa, usitegemee hawa watakuja unganisha nguvu zao hata siku moja.
Na CCJ wakiingia kwa mlango wa nyuma tutawapiga kwa mawe hadi wafe. Tunataka wazalendo wa kweli.
UJUMBE KWA WAPINZANI HEWA
Vyama vya upinzani vitakavyotuzingua safari hii vitatukoma, ombeni ulinzi kabisa tukigundua mnatuzunguka na tukathibitisha ni mawe tu. TUMESHACHOKA SISI. BORA MBAKI HUKO HUKO KWENYE CCM YENU MBOVU.
UJUMBE KWA CCM
KUNA SIKU TUTACHOKA KUPIGA KURA...ENDELEENI KUTUCHEZEA TU MTAONA!!!! HATUNA BUNDUKI HATUNA SILAHA YEYOTE LAKINI SISI NI WANANCHI....MTAKUJA TOKA IKULU KWA NYANYA TU. HIZI HIZI NYANYA MBOVU ZA KARIAKOO...WANANCHI TUTAKAPOCHOKA ZAIDI... VIFARU VYENU HAVITAWEZA KUPAMBANA NA NYANYA MBOVU ZA TANDALE.