Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai

Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai

Jibu hoja pia chagadema mlisema ndani ya mwezi ubungo itakuwa na maji hatuyaoni au mlimanisha mwezi gani hamuoni kuwa chagadema ndiyo chama cha kilaghai na kitapeli?

Hapo ndo msukule wa sisiem umejibu hoja. Haya maroboti yana chekesha sana.
 
Ukiwa mjinga shida sana sijaona hoja ya kujibu hebu nionesheni hoja hata moja.

YERICKO aliposema majuha nilikuwa sijamuelewa vizuri, lakini kwa kusoma post ya huyu jamaa sasa nawajuwa vizuri sana majuha.
 
Wasamehe tu, hakuna wakijuacho

Ukisema hakuna wakijuacho unakosea. Wanajua ulaghai na wapi pa kupiga deal zao. Umeona mpaka mababu zao wanaowaamini kuwa na busara na utaalamu wa uganga wa kienyeji nao kumbe watu wa mishiko tuu. Sii umesikia kauli yake?
ImageUploadedByJamiiForums1421212569.165551.jpg
 
Hapo ndo msukule wa sisiem umejibu hoja. Haya maroboti yana chekesha sana.
Mkuu wewe na mengi mpoje nakuona kuwa na element za akili kama za mengi ile ya kukurupuka kama umechomwa moto miguuni.
 
Hiyo mimba uliyobeba mwaka huu lazima uitoe mbona utaandika uongo mpaka uishe vipi zile pilika zako za kutumika leo huandiki? Endelea kumpigania bwana wako mmezoea kule vya kupewa kwa kuzusha uongo.

Niliwahi kukuambia siku moja uongo na umbea wako vitakutoa kamasi hata kitanda ulichokitandika lazima mwaka huu ukitandue uongo na umbea wako unakoma punde soda utakunywa maji mdomo mrefu kama chupa kazi umbea tu.

Ebu andika ukweli wako......Acha kuropoka kama chama chako cha mapinduzi kinachopindua maisha ya mtanzania kila siku.

Hukutaka Yericko Nyerere auseme ukweli sio eeh?

Au wewe ni mmojawapo wa wafaidika wa ufisadi wa CCM?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wewe na mengi mpoje nakuona kuwa na element za akili kama za mengi ile ya kukurupuka kama umechomwa moto miguuni.

Sasa na wewe Ndo umechangia hoja hapa! Hayo uliyoandika yana uhusiano gani na ulaghai wa kufuta ada na kuziamishia kwenye michango lukuki kwa watoto wetu.

==> Kuhusu mimi na Mengi Mimi sina uhusiano wowote na huyo mtu ila nina uhakika tu kuwa ana akili Kubwa kuliko maprofesa wawili MAGIRINI. Mmoja alikuwa na GPA ya 2.3 pale UDSM Na mwingine alirudia darasa la saba mara 3. Una mwaswali mengine?
 
Uhuru huu mzuri sana najua wengine bado tunajifunza. " tunasafisha nyumba tumefungua madirisha yote kwa hiyo mainzi mavumbi pia yanaweza kuingia ndani wakati wa kusafisha" tutafika tu(lakini wengine mmeshakua acheni jazba na mahaba jengeni hoja)
 
Lete ushahidi wa Dr.Slaa kujikopesha ruzuku sio unaleta porojo za mitandaoni,maneno meengi pumba tupu

Kwani nyie mnapo wapaka tope wenZenu mnaleta ushahidi. Au nyie mna vibali maalumu. Ushahidi wa Slaa upo kwenye record za chama chako.
 
CCM ni Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai kwa tiketi ya majuha, ni cha kifedhuri kuliko hata chama chochote kwa sasa duniani,
Baada yakupinga 2010 huku mishipa wakiitoa kwa nguvu zote kuwa elimu bure haiwezekani, sasa wamekuja na hoja ya hiyo kuwa wao watatoa elimu bure, Ulaghai huu unafanywa mchana kweupeee tena kwa watu walewale waliowalaghai miaka 53 sasa,

Leo kuandikisha mtoto darasa la kwanza gharama zinakaribia laki mbili, na kwa mtoto wa sekondari gharama zinafika laki tatu na ushee,
Ajabu ya Musa nikuwa watu wale wale wanaotozwa gharama hizo ndio walewale wanaoshangilia matamko yakipuuzi na dhihaka ya wababe wa kutafuna nchi kuwa ati watatoa elimu bure kuanzia chekechea hadi sekonda.

Kibaya zaidi na kinachoonyesha kuwa watu hawa wanamchoko wa kifikra na kifaslasa nikuwa wanaotoa sera hiyo wanamaliza mda wao wa uongozi miezi kumi ijayo, sasa haieleweki kama tayari washampata wakumkabidhi sera hizo ama wataendelea wao kuongoza. Ifahamike kuwa taifa letu kwa katiba iliyopo vyama vya siasa ndio huwa na sera, na sera nyingi za vyama vyetu hudumu katika misimu stahiki ya uongozi ambayo ni miaka kumi tu.

Hebu jionee usanii huu ndipo utabaini gharaza za elimu zimepandishwa mara tatu ya ilivyokuwa na sio bure tena kama umma unavyorubuniwa

ELIMU BURE 2016

ADA -Bure
MADAWATI 90,000/=
TAALUMA 20,000/=
MLINZI 15,000/=
MATIBABU 20,000/=
MICHEZO 5,000/=
TAHADHARI 10,000/=
RIMPAPERS 10,000/=×4
VIFAA 12,000/=
MASOMO YA ZIADA10,000
UJENZI 14,000/=
MOCK 20,000/=
NECTA 35,000/=

JUMLA 291,000/=

Rai yangu, Wananchi popote mlipo KATAENI KULIPIA GHARAMA HIZI, hazipo kisheria wala kikatiba. Ukikataa hakuna sheria yoyote itakayokuwajibisha.

Mkuu umesahau
RIM PAPER 1

KWANJA 1

NDOO 1

PANGA 1

FAGIO

PESA YA MLINZI

NDOO 1
 
kama mtu anaweza kumchukia mama yake mzazi sembuse CCM, hayo ni mawazo yako wala sio ya watanzania
 
Ccm ni chama cha kilaghai kunachomilikiwa na walaghai kwa jasho la majuha

if u want to make ur brain blind just join excretoric guys like simiyu yetu"who arquellesly attack people instead of making critical réponse!!ni matokeo ya kua mtumwa wa akili kwa vtu vyepes mithili ya toilet paper!kweli preside kaona watz majuha simiyu yetu as wel!muda wake umeisha ndo anahid elimu bure mweeeh!!ruzuku yenyewe ya 2000 kwa kila mwanafunzi imewashinda watawezaje bure tena!!
 
Yericko Nyerere

Unaweza kuleta uthibitisho wa shule wanayotoza Madawati 90,000/=??

Shule gani wanatoza Necta 35,000/=??

Jarbu kuwa na data za Ukweli... Pia mlipe jamaa hela zake.

Laghai ni wewe unayeanzisha mashindano ya Kilaghai
 
Last edited by a moderator:
Jibu hoja pia chagadema mlisema ndani ya mwezi ubungo itakuwa na maji hatuyaoni au mlimanisha mwezi gani hamuoni kuwa chagadema ndiyo chama cha kilaghai na kitapeli?

Si mmekataa kupeleka bajeti ya maji ili kuwakomesha wananchi kwa kuchagua chadema mnafikiri hatujui hilo?mna dhambi sana ccm.
S
 
Back
Top Bottom