Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai

Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai

....

...Tukisema MAJUHA hatukosei !!!

KAOZAB-+CCM.jpg
Picha inajieleza....

Hatubahatishi..
 
....

...Tukisema MAJUHA hatukosei !!!

KAOZAB-+CCM.jpg

Teh teh teh,mkuu hauwezi kuwa hicho kikundi kama wewe sio masikini wa mawazo.Ebu ona wanavyoji dharilisha utadhani matonya bila Ccm hawana njia nyingine yakula!.Namshukuru Mungu kunipa uwezo wa kukataa hilo genge
 
Hiyo mimba uliyobeba mwaka huu lazima uitoe mbona utaandika uongo mpaka uishe vipi zile pilika zako za kutumika leo huandiki? Endelea kumpigania bwana wako mmezoea kule vya kupewa kwa kuzusha uongo.

Niliwahi kukuambia siku moja uongo na umbea wako vitakutoa kamasi hata kitanda ulichokitandika lazima mwaka huu ukitandue uongo na umbea wako unakoma punde soda utakunywa maji mdomo mrefu kama chupa kazi umbea tu.
Sasa hapa mmbeya ni nani kati yako na Yericko maana umeandika kama mtu aliyejazwa upepo.
 
Hii aka mpya ya MAJUHA nime ipenda sana!MAJUHA mpoooo?
 
Kweli MACCM ni malaghai kupita maelezo, hayana haya wala soni usoni. Watanzania tuwakatae mbuzi hawa.
 
Haaa bongo lalaaaa kumbe kutolipa mnamkomoa kiongozi mtadanganywa na hao wauni fuatilieni watoto wao wako shule zipi jidanganyeni vema sana
 
Hivi haiwezekani kumjibu kwa hoja?!

"like father like son" Watawezaje kujibu kwa hoja kwa fahamu zao zilizonunuliwa kwasababu ya dhiki zao kimaisha?? Waache tu waendelee kubishana na ukweli huku wakiwa na chembe za uongo. (Kwa namna walivyosoma wao Marashi haya yaliyotumika kuongeza karo ya shule hawawezi kuyaona hata wakioneshwa sabu wana maslahi na chama). Gharama hii kwao hata haikidhi kununua dafu, " if you don't want to stay for the THRUFULNESS you never stand alone"
 
laghai wa kwanza ni wewe Yericko ulietapeli laki mbili
 
laghai wa kwanza ni wewe Yericko ulietapeli laki mbili

Unatambua hizo gharama za shule za serikali?

Unawatoto wakusoma ama hujazalishwa? Huna jukumu la kusomesha?

Maisha yako yanaanzia kwenye jf na kuishia jf tu nje ya hapo hujui kitu.
 
CCM ni Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai kwa tiketi ya majuha, ni cha kifedhuri kuliko hata chama chochote kwa sasa duniani,
Baada yakupinga 2010 huku mishipa wakiitoa kwa nguvu zote kuwa elimu bure haiwezekani, sasa wamekuja na hoja ya hiyo kuwa wao watatoa elimu bure, Ulaghai huu unafanywa mchana kweupeee tena kwa watu walewale waliowalaghai miaka 53 sasa,

Leo kuandikisha mtoto darasa la kwanza gharama zinakaribia laki mbili, na kwa mtoto wa sekondari gharama zinafika laki tatu na ushee,
Ajabu ya Musa nikuwa watu wale wale wanaotozwa gharama hizo ndio walewale wanaoshangilia matamko yakipuuzi na dhihaka ya wababe wa kutafuna nchi kuwa ati watatoa elimu bure kuanzia chekechea hadi sekonda.

Kibaya zaidi na kinachoonyesha kuwa watu hawa wanamchoko wa kifikra na kifaslasa nikuwa wanaotoa sera hiyo wanamaliza mda wao wa uongozi miezi kumi ijayo, sasa haieleweki kama tayari washampata wakumkabidhi sera hizo ama wataendelea wao kuongoza. Ifahamike kuwa taifa letu kwa katiba iliyopo vyama vya siasa ndio huwa na sera, na sera nyingi za vyama vyetu hudumu katika misimu stahiki ya uongozi ambayo ni miaka kumi tu.

Hebu jionee usanii huu ndipo utabaini gharaza za elimu zimepandishwa mara tatu ya ilivyokuwa na sio bure tena kama umma unavyorubuniwa

ELIMU BURE 2016

ADA -Bure
MADAWATI 90,000/=
TAALUMA 20,000/=
MLINZI 15,000/=
MATIBABU 20,000/=
MICHEZO 5,000/=
TAHADHARI 10,000/=
RIMPAPERS 10,000/=×4
VIFAA 12,000/=
MASOMO YA ZIADA10,000
UJENZI 14,000/=
MOCK 20,000/=
NECTA 35,000/=

JUMLA 291,000/=

Rai yangu, Wananchi popote mlipo KATAENI KULIPIA GHARAMA HIZI, hazipo kisheria wala kikatiba. Ukikataa hakuna sheria yoyote itakayokuwajibisha.

Mkuu yule kijana anasema na kukumbushia zile fedha zake vp maana hata ule Uzi kule huupitii tena? Dhulma mbaya sana
 
Yericko Nyerere hata mimi namkubali sana, lakini hoja iliyoileta leo ina mantiki kubwa sana na tunaijua sisi tuliopewa majukum yakuwalipia wanafunzi.

lakn kitu ambacho nakiona hakijakaa sawa Yericko Nyerere na yeye hana tofauti kubwa na ccm maana hata yeye ni mwizi na ni mtapeli tu.

swali langu yule kijana alimlipa fedha yake.
Kama unamkubali mtunzie basi Yule mtoto uliyemzalia bila ya kulalamika kwenye media
 
Hoja za kujibu kwa hoja ziko wapi? Kumbe hata uongo na upotoshaji umekuwa hoja?

inawezekana wewe ni mtoto wa mama unalelewa tu hata hujui maisha yanavyoenda. Ungekuwa na mtoto au ndugu yako unamsomesha usingepinga hoja hii. Hivyo kilichoandikwa ni sahihi kabisa. Labda wewe uwe unaishi kwa shemeji yako huna majukumu ya kusomesha ndo utasema uongo. kuna mambo mengine hayahitaji ushabiki wa kisiasa mkuu
 
CCM ni Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai kwa tiketi ya majuha, ni cha kifedhuri kuliko hata chama chochote kwa sasa duniani,
Baada yakupinga 2010 huku mishipa wakiitoa kwa nguvu zote kuwa elimu bure haiwezekani, sasa wamekuja na hoja ya hiyo kuwa wao watatoa elimu bure, Ulaghai huu unafanywa mchana kweupeee tena kwa watu walewale waliowalaghai miaka 53 sasa,

Leo kuandikisha mtoto darasa la kwanza gharama zinakaribia laki mbili, na kwa mtoto wa sekondari gharama zinafika laki tatu na ushee,
Ajabu ya Musa nikuwa watu wale wale wanaotozwa gharama hizo ndio walewale wanaoshangilia matamko yakipuuzi na dhihaka ya wababe wa kutafuna nchi kuwa ati watatoa elimu bure kuanzia chekechea hadi sekonda.

Kibaya zaidi na kinachoonyesha kuwa watu hawa wanamchoko wa kifikra na kifaslasa nikuwa wanaotoa sera hiyo wanamaliza mda wao wa uongozi miezi kumi ijayo, sasa haieleweki kama tayari washampata wakumkabidhi sera hizo ama wataendelea wao kuongoza. Ifahamike kuwa taifa letu kwa katiba iliyopo vyama vya siasa ndio huwa na sera, na sera nyingi za vyama vyetu hudumu katika misimu stahiki ya uongozi ambayo ni miaka kumi tu.

Hebu jionee usanii huu ndipo utabaini gharaza za elimu zimepandishwa mara tatu ya ilivyokuwa na sio bure tena kama umma unavyorubuniwa

ELIMU BURE 2016

ADA -Bure
MADAWATI 90,000/=
TAALUMA 20,000/=
MLINZI 15,000/=
MATIBABU 20,000/=
MICHEZO 5,000/=
TAHADHARI 10,000/=
RIMPAPERS 10,000/=×4
VIFAA 12,000/=
MASOMO YA ZIADA10,000
UJENZI 14,000/=
MOCK 20,000/=
NECTA 35,000/=

JUMLA 291,000/=

Rai yangu, Wananchi popote mlipo KATAENI KULIPIA GHARAMA HIZI, hazipo kisheria wala kikatiba. Ukikataa hakuna sheria yoyote itakayokuwajibisha.

Wewe kenge tuambie kwanza ulikuja na habari za kufukuzwa Lowassa kum wewe
 
Back
Top Bottom