Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai

Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai

mkuu kwa sasa necta ni shilingi 50,000 kama mwanafunzi atalipa kwa wakati, huwa inapanda kama atachelewa kulipa, 65000,85000 mpaka 100,000 ambacho ndo kiwango cha mwisho. Kwa hiyo kusema elimu bure ni kiini macho kwani wamebadilisha jina tu kutoka ada ya shule kwenda michango ya shule.
Mfano michango ya madawati hutolewa kila mwaka na madawati hayanunuliwi. kimantiki labda ingetolewa miaka mitatu ya mwanzo afu, wengine wakatolewa huo mchango, kwa sababu dawati ni bidhaa inayodumu kwa muda mrefu si nyanya zile.

Asante sana kwakuweka sawa,
 
Jibu hoja pia chagadema mlisema ndani ya mwezi ubungo itakuwa na maji hatuyaoni au mlimanisha mwezi gani hamuoni kuwa chagadema ndiyo chama cha kilaghai na kitapeli?
Hii thread inahusu maji Ubungo? Hapo kama ni maksi una -10%
 
Mdogo wangu secondary za kata form two jana ameenda na 95,000/=
Sekondari ipi hiyo,tangu umehamia NccR mageuzi naona zimekuruka mkuu pole kwa maumivu kubenea na kibanda pamoja na yericko walikuambia mzee wako anafukuzwa naona bado hajafukuzwa na wewe ulishakwenda nccr vipi utarudi tena huoni kuwa utakuwa kigeugeu?
 
Hapa unaonyesha jinsi ulivyo mkame wa fikra. Hebu jibu hoja, matusi ya nini? Au ndio umefika mwisho wa kufikiri?
Nioneshe hoja ya kujibu ipi inayohitaji majibu niweze kujibu ujue ukiwa na akili ndogo ndiyo madhara yake haya.
 
Mwambie hata mwenzako mtoi,kubenea na kibanda kuwa hizi biashara za kutumika na kuishi kwa hisani za watu hapa mjini zimepitwa na wakati fanya kazi halali uongo na tamaa vilimponza fisi hali hii lazima ikukute hata wewe utapata aibu sana mwaka huu jiandae kiakili na kimwili ikibidi funga pembasi najua mtatikiswa sana mwaka huu.

Kiukweli huwa namkubali Yeriko,ebu tuambie uongo hapo ninini mana sisi ndio wenye watoto wanaosoma tofauti nawewe usiyezaa.Jk yakwake yamemshinda anapanga ya Serikali ijayo kana kwamba hiyo Ccm itakuwepo.Mbona kipindi kile hiyo sera mlisema haiwezekani?.Kweli ukiwa Ccm nimkosi!
 
Haya chadema inakupa kwa kumwaga damu na kukupora kwa kumwagiwa tindikali chunguza utaniambia.
Sikutegemea kuwa Majitu ya CCM hayana akili kwa kiwango hiki. Katika maswala ya msingi hivi mnajibu hoja kijinga hivi. fungueni macho muuone ukweli muache ushabikiki wa kijinga.
 
Jibu hoja pia chagadema mlisema ndani ya mwezi ubungo itakuwa na maji hatuyaoni au mlimanisha mwezi gani hamuoni kuwa chagadema ndiyo chama cha kilaghai na kitapeli?
Kama mtoa hoja aligusia maji ubungo na chadena nitajibu.....

Mazidi kudhihirisha jinsi mlivyo majuha
 
Kiukweli huwa namkubali Yeriko,ebu tuambie uongo hapo ninini mana sisi ndio wenye watoto wanaosoma tofauti nawewe usiyezaa.Jk yakwake yamemshinda anapanga ya Serikali ijayo kana kwamba hiyo Ccm itakuwepo.Mbona kipindi kile hiyo sera mlisema haiwezekani?.Kweli ukiwa Ccm nimkosi!

Yericko Nyerere hata mimi namkubali sana, lakini hoja iliyoileta leo ina mantiki kubwa sana na tunaijua sisi tuliopewa majukum yakuwalipia wanafunzi.

lakn kitu ambacho nakiona hakijakaa sawa Yericko Nyerere na yeye hana tofauti kubwa na ccm maana hata yeye ni mwizi na ni mtapeli tu.

swali langu yule kijana alimlipa fedha yake.
 
Last edited by a moderator:

Anzisha uzi unamtaka Yericko kulipa fedha..
 
Last edited by a moderator:
Nadhani hawajaona madhara ya ku copy na ku pest kilichowakuta kwenye katiba baada ya kukurupuka kudandia hoja bila kuwa na mipango.Ccm ludieni tena kudandia hoja wakati akiri yenu inajua wizi tu!
 
....

...Tukisema MAJUHA hatukosei !!!

KAOZAB-+CCM.jpg
 
Kiukweli huwa namkubali Yeriko,ebu tuambie uongo hapo ninini mana sisi ndio wenye watoto wanaosoma tofauti nawewe usiyezaa.Jk yakwake yamemshinda anapanga ya Serikali ijayo kana kwamba hiyo Ccm itakuwepo.Mbona kipindi kile hiyo sera mlisema haiwezekani?.Kweli ukiwa Ccm nimkosi!

Ccm ni chama cha kilaghai kunachomilikiwa na walaghai kwa jasho la majuha
 
Back
Top Bottom