Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai

Huyu tapeli naye sijui katokea wapi kama uliweza kukataa jina lako la ukoo na kudandia jina la ukoo mwingine hapo ndipo ulipoanza kuambatana na shetani kwa kusema uongo na uzushi kwahiyo hatutegemei uwe na akili juzi mlikuwa mnatunga uongo na kaka yako yule mwenye jicho moja pamoja na kubenea mbona leo uongo umekoma mmeshindwa kupenyaza watu cc?

Simiyu yetu angalia utakosa hela ya watoto kuwapeleka shule ukianza kuwauzi wazee wako wa chama. Nikiwa na maana rais mstaafu aliomba atambuliwe na kabira la kizanaki na kuwa mmojawapo kati ya kabira hilo! Sasa unamuongelea nani hapo? Angalia utapoteza donge, watch out!
 
Hawa vijana kuwepo ccm kumeondoa akili zao zote
 
CCM ni Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai kwa tiketi ya majuha, ni cha kifedhuri kuliko hata chama chochote kwa sasa duniani,
Baada yakupinga 2010 huku mishipa wakiitoa kwa nguvu zote kuwa elimu bure haiwezekani, sasa wamekuja na hoja ya hiyo kuwa wao watatoa elimu bure, Ulaghai huu unafanywa mchana kweupeee tena kwa watu walewale waliowalaghai miaka 53 sasa,

Leo kuandikisha mtoto darasa la kwanza gharama zinakaribia laki mbili, na kwa mtoto wa sekondari gharama zinafika laki tatu na ushee,
Ajabu ya Musa nikuwa watu wale wale wanaotozwa gharama hizo ndio walewale wanaoshangilia matamko yakipuuzi na dhihaka ya wababe wa kutafuna nchi kuwa ati watatoa elimu bure kuanzia chekechea hadi sekonda.

Kibaya zaidi na kinachoonyesha kuwa watu hawa wanamchoko wa kifikra na kifaslasa nikuwa wanaotoa sera hiyo wanamaliza mda wao wa uongozi miezi kumi ijayo, sasa haieleweki kama tayari washampata wakumkabidhi sera hizo ama wataendelea wao kuongoza. Ifahamike kuwa taifa letu kwa katiba iliyopo vyama vya siasa ndio huwa na sera, na sera nyingi za vyama vyetu hudumu katika misimu stahiki ya uongozi ambayo ni miaka kumi tu.

Hebu jionee usanii huu ndipo utabaini gharaza za elimu zimepandishwa mara tatu ya ilivyokuwa na sio bure tena kama umma unavyorubuniwa

ELIMU BURE 2016

ADA -Bure
MADAWATI 90,000/=
TAALUMA 20,000/=
MLINZI 15,000/=
MATIBABU 20,000/=
MICHEZO 5,000/=
TAHADHARI 10,000/=
RIMPAPERS 10,000/=×4
VIFAA 12,000/=
MASOMO YA ZIADA10,000
UJENZI 14,000/=
MOCK 20,000/=
NECTA 35,000/=

JUMLA 291,000/=

Rai yangu, Wananchi popote mlipo KATAENI KULIPIA GHARAMA HIZI, hazipo kisheria wala kikatiba. Ukikataa hakuna sheria yoyote itakayokuwajibisha.

.....kama elimu ni aghali jaribu ujinga
 
Wewe siyo mzima.

Mtu mwenye akili angeanza kukanusha ni gharama ipi haipo au kiasi kilichowekwa siyo sahihi. Kupiga kelele tu kuwa ni uwongo bila ya kueleza kipi siyo cha kweli, unaonekana kiumbe cha ajabu. Jifunzeni kujenga hoja na kujibu hoja siyo kupiga hadithi.

Hiyo mimba uliyobeba mwaka huu lazima uitoe mbona utaandika uongo mpaka uishe vipi zile pilika zako za kutumika leo huandiki? Endelea kumpigania bwana wako mmezoea kule vya kupewa kwa kuzusha uongo.

Niliwahi kukuambia siku moja uongo na umbea wako vitakutoa kamasi hata kitanda ulichokitandika lazima mwaka huu ukitandue uongo na umbea wako unakoma punde soda utakunywa maji mdomo mrefu kama chupa kazi umbea tu.
 
wazazi tusaidieni hizo gharama kweli zipo maana naona ni mashambulizi binafsi tu bila hoja kujibiwa
 
Watanzania wenzangu CCM sio watu ni genge la WEZI,WAUAJI,MAFISADI,WABAKAJI,WAHUNI,MAJAMBAZI,WAKWAPUAJI,MALAYA. Watanzania mpaka sasa tunajishangaa tulivyo waamini watu ambao kumbe SIO WALE WA ZAMANI WALIOSHIRIKI UMASKINI WETU NA TUKAWAONA KWA MACHO YETU WAKIWA MASIKINI KAMA SS,Leo hii mtu yuko ndani ya GARI ya milioni 300 anasema SERIKALI HAINA FEDHA na ANATAKA UMWAMINI NAPATA SHIDA KUJUA KAMA VIONGOZI WA CCM WANA AKILI TIMAMU KAMA BINADAMU WENGINE,KIKWETE Ndiyo zezeta MKUU anazurula kila mahali duniani kama MSUKULE Eti ndiye Rais wa Nchi inayoheshimika Aibu yetu Watanzania.Wazungu wanatucheka sana na wanasema This man has no credibility to be a President of a country he is not creative,Rais maisha yake yote ya Urais ni ombaomba kama KIPOFU analiaibisha TAIFA anafuga WEZI kila mahali MSHENZI MKUBWA HUYU maisha tuliyoambiwa ni bora yako wapi Watu wanahimizwa kilimo na wamelima kwelikweli kumbe CCM na serikali yenu mnakejeli watu matokeo yake Rais anatamka kwamba si LAZIMA NFRA inunue mazao yote na kwa nn hamkusema mapema mkasubiri production iwe kubwa ili muwakomoe WANANCHI, Sasa CCM Jiandaeni kisaikolojia lazima tuwapumzishe maana HAMNA AKILI KIUONGOZI Pamoja na huyo ----- wenu JK Tumetumia nguvu nyingi na rasilimali nyingi kwenye kilimo lkn tunaishia kufa maskini,Mbaya zaidi viongozi wanaona hili ni jambo la mzaha tu kwa sababu tu wao wanashiba na ss tunalala bila kula,MAHINDI YETU YAMEHARIBIKA KWA MVUA NA WADUDU Serikali imeshindwa kabisa kutafuta SOKO waziri anazunguka kwenye kiti na kula kiyoyozi tu,halafu bado mnataka KURA ZETU ILI MUENDELEE KUTUONGOZA HUU NI UKICHAA.WATAKAO IPENDA CCM HII NI MASHETANI TU, MTU WA MUNGU NA MWADILIFU HAWEZI KUIPENDA CCM HII ILIYOKENGEUKA NA SI TENA YA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI BALI NI YA MAJAMBAZI,WAUAJI,MAFISADI,WEZI,WAUZA UNGA,WATOROSHAJI,WAKWAPUAJI,WAPINGA MAADILI NA KUYAFUTA KWENYE RASIMU YA KATIBA.

HAYO YOTE YAPO NDANI YA CCM,Kama unashabikia CHAMA hiki hutajitenga na hayo na kwa sababu hiyo una ROHO YA USHETANI NDANI YAKO.

BADILIKA MTANZANIA CCM SIO CHAMA NI GENGE LA WAHUNI.

PIGA KURA YA HAPANA KWA KATIBA YA CCM INAYOPENDEKEZWA.

MUNGU IBARIKA TANZANIA.MUNGU IBARIKI AFRIKA.
 
summun;bukmun;um-yun.....kipofu kiziwi buwi...huoni husikii hata picha pia???? laghai wahed wewe
CCM ni Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai kwa tiketi ya majuha, ni cha kifedhuri kuliko hata chama chochote kwa sasa duniani,
Baada yakupinga 2010 huku mishipa wakiitoa kwa nguvu zote kuwa elimu bure haiwezekani, sasa wamekuja na hoja ya hiyo kuwa wao watatoa elimu bure, Ulaghai huu unafanywa mchana kweupeee tena kwa watu walewale waliowalaghai miaka 53 sasa,

Leo kuandikisha mtoto darasa la kwanza gharama zinakaribia laki mbili, na kwa mtoto wa sekondari gharama zinafika laki tatu na ushee,
Ajabu ya Musa nikuwa watu wale wale wanaotozwa gharama hizo ndio walewale wanaoshangilia matamko yakipuuzi na dhihaka ya wababe wa kutafuna nchi kuwa ati watatoa elimu bure kuanzia chekechea hadi sekonda.

Kibaya zaidi na kinachoonyesha kuwa watu hawa wanamchoko wa kifikra na kifaslasa nikuwa wanaotoa sera hiyo wanamaliza mda wao wa uongozi miezi kumi ijayo, sasa haieleweki kama tayari washampata wakumkabidhi sera hizo ama wataendelea wao kuongoza. Ifahamike kuwa taifa letu kwa katiba iliyopo vyama vya siasa ndio huwa na sera, na sera nyingi za vyama vyetu hudumu katika misimu stahiki ya uongozi ambayo ni miaka kumi tu.

Hebu jionee usanii huu ndipo utabaini gharaza za elimu zimepandishwa mara tatu ya ilivyokuwa na sio bure tena kama umma unavyorubuniwa

ELIMU BURE 2016

ADA -Bure
MADAWATI 90,000/=
TAALUMA 20,000/=
MLINZI 15,000/=
MATIBABU 20,000/=
MICHEZO 5,000/=
TAHADHARI 10,000/=
RIMPAPERS 10,000/=×4
VIFAA 12,000/=
MASOMO YA ZIADA10,000
UJENZI 14,000/=
MOCK 20,000/=
NECTA 35,000/=

JUMLA 291,000/=

Rai yangu, Wananchi popote mlipo KATAENI KULIPIA GHARAMA HIZI, hazipo kisheria wala kikatiba. Ukikataa hakuna sheria yoyote itakayokuwajibisha.
 
Jibu hoja pia chagadema mlisema ndani ya mwezi ubungo itakuwa na maji hatuyaoni au mlimanisha mwezi gani hamuoni kuwa chagadema ndiyo chama cha kilaghai na kitapeli?
nimewafahamu majuha waliyo semwa na yericko
 
Nchembe ndio nani huyo?

Labda alimaanisha Michembe. Huku Kanda ya Ziwa, michembe ni mihogo ile michungu iliyokatwa katwa na kukaushwa, tayari kwa kutengeneza unga wa mihogo.
 
wazazi wakiacha kuwajibika hata kwa maendeleo ya watoto wao ni hatua mbaya sana katika kujenga taifa la uwajibikaji, sidhani kama ni sahihi kuacha kila wajibu kwa serikali, kwa uvivu huo tutaanza kusikia maombi ya watu wazalishiwe watoto na serikali...tusubiri...
 
CCM ni Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai kwa tiketi ya majuha, ni cha kifedhuri kuliko hata chama chochote kwa sasa duniani,
Baada yakupinga 2010 huku mishipa wakiitoa kwa nguvu zote kuwa elimu bure haiwezekani, sasa wamekuja na hoja ya hiyo kuwa wao watatoa elimu bure, Ulaghai huu unafanywa mchana kweupeee tena kwa watu walewale waliowalaghai miaka 53 sasa,

Leo kuandikisha mtoto darasa la kwanza gharama zinakaribia laki mbili, na kwa mtoto wa sekondari gharama zinafika laki tatu na ushee,
Ajabu ya Musa nikuwa watu wale wale wanaotozwa gharama hizo ndio walewale wanaoshangilia matamko yakipuuzi na dhihaka ya wababe wa kutafuna nchi kuwa ati watatoa elimu bure kuanzia chekechea hadi sekonda.

Kibaya zaidi na kinachoonyesha kuwa watu hawa wanamchoko wa kifikra na kifaslasa nikuwa wanaotoa sera hiyo wanamaliza mda wao wa uongozi miezi kumi ijayo, sasa haieleweki kama tayari washampata wakumkabidhi sera hizo ama wataendelea wao kuongoza. Ifahamike kuwa taifa letu kwa katiba iliyopo vyama vya siasa ndio huwa na sera, na sera nyingi za vyama vyetu hudumu katika misimu stahiki ya uongozi ambayo ni miaka kumi tu.

Hebu jionee usanii huu ndipo utabaini gharaza za elimu zimepandishwa mara tatu ya ilivyokuwa na sio bure tena kama umma unavyorubuniwa

ELIMU BURE 2016

ADA -Bure
MADAWATI 90,000/=
TAALUMA 20,000/=
MLINZI 15,000/=
MATIBABU 20,000/=
MICHEZO 5,000/=
TAHADHARI 10,000/=
RIMPAPERS 10,000/=×4
VIFAA 12,000/=
MASOMO YA ZIADA10,000
UJENZI 14,000/=
MOCK 20,000/=
NECTA 35,000/=

JUMLA 291,000/=

Rai yangu, Wananchi popote mlipo KATAENI KULIPIA GHARAMA HIZI, hazipo kisheria wala kikatiba. Ukikataa hakuna sheria yoyote itakayokuwajibisha.

Haya umesahau,
Unifomu 90,000/=
Jengo la komputa 10,000/=
Maji 5,000/=
Maabara 10,000/=
 
Hiyo mimba uliyobeba mwaka huu lazima uitoe mbona utaandika uongo mpaka uishe vipi zile pilika zako za kutumika leo huandiki? Endelea kumpigania bwana wako mmezoea kule vya kupewa kwa kuzusha uongo.

Niliwahi kukuambia siku moja uongo na umbea wako vitakutoa kamasi hata kitanda ulichokitandika lazima mwaka huu ukitandue uongo na umbea wako unakoma punde soda utakunywa maji mdomo mrefu kama chupa kazi umbea tu.

EMBU weka ukweli wako hapa basi sisi tumekubaliana na yeriko kwa sabab hizo gharama zipo tunachangia huwa
 
Mwambie hata mwenzako mtoi,kubenea na kibanda kuwa hizi biashara za kutumika na kuishi kwa hisani za watu hapa mjini zimepitwa na wakati fanya kazi halali uongo na tamaa vilimponza fisi hali hii lazima ikukute hata wewe utapata aibu sana mwaka huu jiandae kiakili na kimwili ikibidi funga pembasi najua mtatikiswa sana mwaka huu.

WEWE huna tofauti na mpira wa lady pepeta,unawasema majembe kama hayo
 
Hiyo mimba uliyobeba mwaka huu lazima uitoe mbona utaandika uongo mpaka uishe vipi zile pilika zako za kutumika leo huandiki? Endelea kumpigania bwana wako mmezoea kule vya kupewa kwa kuzusha uongo.

Niliwahi kukuambia siku moja uongo na umbea wako vitakutoa kamasi hata kitanda ulichokitandika lazima mwaka huu ukitandue uongo na umbea wako unakoma punde soda utakunywa maji mdomo mrefu kama chupa kazi umbea tu.

weee... ku....nina ..ako peleka matapiko yako lumumba.
we unalipiwa na shemeji yako anaemtafuna yule dada yako utazijuaje hizo gharama??
ma.... fu....c u kwendraaaaaaaaaaaaa mburula weeee
 
Back
Top Bottom