Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,513
CCM ni Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai kwa tiketi ya majuha, ni cha kifedhuri kuliko hata chama chochote kwa sasa duniani,
Baada yakupinga 2010 huku mishipa wakiitoa kwa nguvu zote kuwa elimu bure haiwezekani, sasa wamekuja na hoja ya hiyo kuwa wao watatoa elimu bure, Ulaghai huu unafanywa mchana kweupeee tena kwa watu walewale waliowalaghai miaka 53 sasa,
Leo kuandikisha mtoto darasa la kwanza gharama zinakaribia laki mbili, na kwa mtoto wa sekondari gharama zinafika laki tatu na ushee,
Ajabu ya Musa nikuwa watu wale wale wanaotozwa gharama hizo ndio walewale wanaoshangilia matamko yakipuuzi na dhihaka ya wababe wa kutafuna nchi kuwa ati watatoa elimu bure kuanzia chekechea hadi sekonda.
Kibaya zaidi na kinachoonyesha kuwa watu hawa wanamchoko wa kifikra na kifaslasa nikuwa wanaotoa sera hiyo wanamaliza mda wao wa uongozi miezi kumi ijayo, sasa haieleweki kama tayari washampata wakumkabidhi sera hizo ama wataendelea wao kuongoza. Ifahamike kuwa taifa letu kwa katiba iliyopo vyama vya siasa ndio huwa na sera, na sera nyingi za vyama vyetu hudumu katika misimu stahiki ya uongozi ambayo ni miaka kumi tu.
Hebu jionee usanii huu ndipo utabaini gharaza za elimu zimepandishwa mara tatu ya ilivyokuwa na sio bure tena kama umma unavyorubuniwa
ELIMU BURE 2016
ADA -Bure
MADAWATI 90,000/=
TAALUMA 20,000/=
MLINZI 15,000/=
MATIBABU 20,000/=
MICHEZO 5,000/=
TAHADHARI 10,000/=
RIMPAPERS 10,000/=×4
VIFAA 12,000/=
MASOMO YA ZIADA10,000
UJENZI 14,000/=
MOCK 20,000/=
NECTA 35,000/=
JUMLA 291,000/=
Rai yangu, Wananchi popote mlipo KATAENI KULIPIA GHARAMA HIZI, hazipo kisheria wala kikatiba. Ukikataa hakuna sheria yoyote itakayokuwajibisha.