Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai

Mkuu yule kijana anasema na kukumbushia zile fedha zake vp maana hata ule Uzi kule huupitii tena? Dhulma mbaya sana
OP (opposite point) ndo mnakokimbilia nyie Ma.pa..ny.a bo.ok ilimradi mkwepane na ukweli na kuipoteza mada husika. Brain capacity imeshuka mpaka 0cc, mnashindwa kujenga HOJA, mnajenga VIHOJA na kumisplace vitu. Hii SIYO sehemu ya mipasho.
 
Chadema vipi mlisema ndani ya mwezi mmoja maji ubungo yatakuwepo sasa mbona hatuyaoni?

Jua hatujasahau juu ya Ilani ya CCM juu ya Maji: Kila Mtanzania atapata maji safi na salama kwa umbali usiozidi mita 400 ifikapo mwaka 2015. 2015 tumeingia hamna hata matope. Kwa spidi hii hata CCM wapewe miaka 2000 hawawezi kuwapatia nusu ya watanzania maji safi nasalama. Kuna ulaghai zaidi ya huu?
 
Huyu tapeli naye sijui katokea wapi kama uliweza kukataa jina lako la ukoo na kudandia jina la ukoo mwingine hapo ndipo ulipoanza kuambatana na shetani kwa kusema uongo na uzushi kwahiyo hatutegemei uwe na akili juzi mlikuwa mnatunga uongo na kaka yako yule mwenye jicho moja pamoja na kubenea mbona leo uongo umekoma mmeshindwa kupenyaza watu cc?

Ndugu simiyu ni kweli huyu Yerico ni muongo na Mnafiki, lakini wewe hupaswi kumsema mtu na kilema alichokipata kwa athari ya ajali au dosari ya kuzaliwa, hakuna apendae kukosa jicho , hiyo ni amri ya mungu. Huo sio ungwana hata kidogo, nakusihi.

Yerico kama wewe ni msemaji ukweli hebu tueleweshe , Mbowe kuwauzia chama magari mabovu kwa bei ya gari mpya ni ungwana? Slaa kujikopesha pesa za chama interest free ni uungwana? Kumnaga Jambazi na mwizi wa magari kama Lema ni uungwana au kuwalaghai wananchi.

Yerico wacha kujifanya unajua sana na hali you still have a lot to learn, unawezaje kuwaita mamilion ya waTanzania majuha, people who have exercised their democratic preference and elected ccm to power. Hivyo kweli enzi ya Nyerere ungepewa Sema hivyo?
 
Ccm ni chama cha kifedhuli kinachoongozwa kiulaghai kama mnabisha midomoni mioyoni mwenu mnakiri ufirauni wa ccm
 
Yericko lipa hela ya Oluoch acha utapeli ewe MLA MBWAA
 
Last edited by a moderator:
Ccm ni chama cha kifedhuli kinachoongozwa kiulaghai kama mnabisha midomoni mioyoni mwenu mnakiri ufirauni wa ccm

poleni sana Wanachadema, ndugu zetu jitayarisheni kwa utawala muelekevu wa ccm kwa miaka 30 ijayo. Nchembe ndiye Raisi wako 2016.
 
Hiyo mimba uliyobeba mwaka huu lazima uitoe mbona utaandika uongo mpaka uishe vipi zile pilika zako za kutumika leo huandiki? Endelea kumpigania bwana wako mmezoea kule vya kupewa kwa kuzusha uongo.

Niliwahi kukuambia siku moja uongo na umbea wako vitakutoa kamasi hata kitanda ulichokitandika lazima mwaka huu ukitandue uongo na umbea wako unakoma punde soda utakunywa maji mdomo mrefu kama chupa kazi umbea tu.

Changia hoja kwa kukataa. Hapa alichoandika mshkaji ni kweli na mimi ni mhanga wa elimu bure hiyo. Michango ipo kwingine zaidi ya hiyo. Umbea wake nini.
 
Ndugu simiyu ni kweli huyu Yerico ni muongo na Mnafiki, lakini wewe hupaswi kumsema mtu na kilema alichokipata kwa athari ya ajali au dosari ya kuzaliwa, hakuna apendae kukosa jicho , hiyo ni amri ya mungu. Huo sio ungwana hata kidogo, nakusihi.

Yerico kama wewe ni msemaji ukweli hebu tueleweshe , Mbowe kuwauzia chama magari mabovu kwa bei ya gari mpya ni ungwana? Slaa kujikopesha pesa za chama interest free ni uungwana? Kumnaga Jambazi na mwizi wa magari kama Lema ni uungwana au kuwalaghai wananchi.

Yerico wacha kujifanya unajua sana na hali you still have a lot to learn, unawezaje kuwaita mamilion ya waTanzania majuha, people who have exercised their democratic preference and elected ccm to power. Hivyo kweli enzi ya Nyerere ungepewa Sema hivyo?

Asingesema hivyo kwa kuwa Baba wa taifa hakuwa LAGHAI. Aliposema ELIMU BURE aliwalipia wananchi gharama zote, hakuhamishia kwenye michango.
 
Mbulula huwa hawajibu kitu katika mtihani.

Yericko Nyerere yuko sahihi. Ccm ni walaghai na wanadandia Sera ya chadema kuwashawishi wapiga kura mwaka huh Wa uchaguzi. Tuwapuuze. Ili tuamini viongozi ni vema waimarishe huduma za elimu na afya na wao wenyewe wazitumie. Watoto wao wasome shule umma na wao watibiwe ktk hospitali za serikali.
 
Mwambie hata mwenzako mtoi,kubenea na kibanda kuwa hizi biashara za kutumika na kuishi kwa hisani za watu hapa mjini zimepitwa na wakati fanya kazi halali uongo na tamaa vilimponza fisi hali hii lazima ikukute hata wewe utapata aibu sana mwaka huu jiandae kiakili na kimwili ikibidi funga pembasi najua mtatikiswa sana mwaka huu.
Katika kupitia bandiko la Erico Nyerere, nimegundua kuwa hoja yake ina mashiko tena yenye tija. Ila wewe unayejiita MJEPO, nimegundua huna kitu kichwani mwako na badala yake unabaki kujadili mtu na si hoja husika. Kwa maana hiyo, wewe ndo umekubali kuudhalilisha UTU NA UBINADAMU wako kwa kutumika kama mpira wa CONDOM. Ni nani asiyejua kuwa 2010 CDM walikuwa na SERA ya ELIMU BURE mpaka kidato cha SITA na kwa Upande wa pili CCM wakawa wanapinga kwa hoja nyepesi kama karati ya KUCHAMBIA kuwa haiwezekani jambo hili? Ama kweli njaa ni SHIDA na ULIMI ULIPONZA KICHWA. Hujitambui katika dunia hïi. Pole sana.
 
Ndugu simiyu ni kweli huyu Yerico ni muongo na Mnafiki, lakini wewe hupaswi kumsema mtu na kilema alichokipata kwa athari ya ajali au dosari ya kuzaliwa, hakuna apendae kukosa jicho , hiyo ni amri ya mungu. Huo sio ungwana hata kidogo, nakusihi.

Yerico kama wewe ni msemaji ukweli hebu tueleweshe , Mbowe kuwauzia chama magari mabovu kwa bei ya gari mpya ni ungwana? Slaa kujikopesha pesa za chama interest free ni uungwana? Kumnaga Jambazi na mwizi wa magari kama Lema ni uungwana au kuwalaghai wananchi.

Yerico wacha kujifanya unajua sana na hali you still have a lot to learn, unawezaje kuwaita mamilion ya waTanzania majuha, people who have exercised their democratic preference and elected ccm to power. Hivyo kweli enzi ya Nyerere ungepewa Sema hivyo?
Lete ushahidi wa Dr.Slaa kujikopesha ruzuku sio unaleta porojo za mitandaoni,maneno meengi pumba tupu
 
ma-toiet paper kama simiyu yetu,msalani, fuska lady na ritz I mizigo na mapunguani humu ndani akili zao ni makamasi kabisa!
 
Mkuu yule kijana anasema na kukumbushia zile fedha zake vp maana hata ule Uzi kule huupitii tena? Dhulma mbaya sana

jibuni hoja acheni kutafuta pa kutokea ,hizo gharama zipo hazipo?uhunu uhuni achen jibu kwanza..
 
Hiyo mimba uliyobeba mwaka huu lazima uitoe mbona utaandika uongo mpaka uishe vipi zile pilika zako za kutumika leo huandiki? Endelea kumpigania bwana wako mmezoea kule vya kupewa kwa kuzusha uongo.

Niliwahi kukuambia siku moja uongo na umbea wako vitakutoa kamasi hata kitanda ulichokitandika lazima mwaka huu ukitandue uongo na umbea wako unakoma punde soda utakunywa maji mdomo mrefu kama chupa kazi umbea tu.

Acha kuendekeza ujinga ndugu, wewe kama unaona mtoa mada ni muongo basi hauna mtoto unayemsomesha wala hakuna unachokijua juu ya gharama za elimu ndani ya nchi hii na wewe inawezekana kabisa ni mtoto wa mitaani uliokotwa na kuhifadhiwa ukila bure ukasomeshwa bure hadi kidato cha nne shule za kata na ndio umeishia hapo sasa umechukua jukumu la kuitetea CCM hata pale inapofanya madudu.
 
Hiyo mimba uliyobeba mwaka huu lazima uitoe mbona utaandika uongo mpaka uishe vipi zile pilika zako za kutumika leo huandiki? Endelea kumpigania bwana wako mmezoea kule vya kupewa kwa kuzusha uongo.

Niliwahi kukuambia siku moja uongo na umbea wako vitakutoa kamasi hata kitanda ulichokitandika lazima mwaka huu ukitandue uongo na umbea wako unakoma punde soda utakunywa maji mdomo mrefu kama chupa kazi umbea tu.

Tukupe ndimu? Maana inaonyesha una ukakasi mkali mdomon
 
Back
Top Bottom