Kama watanzania bado tunaamini kwamba
Kuna ubaya gani tukipigwa tena hilo changa la macho la Elimu ya Msingi hadi Sekondari itakuwa Bure?
Wajinga ndio waliwao!
- Matibabu kwa wazee ni bure
- Huduma za kujifungua kwa akina mama ni bure
- Matibabu kwa under fives ni bure
Kuna ubaya gani tukipigwa tena hilo changa la macho la Elimu ya Msingi hadi Sekondari itakuwa Bure?
Wajinga ndio waliwao!