Tuweke ushabiki pembeni, Simba sc wanakibarua kizito mbele ya Asec Mimosa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,783
Naona kelele za Mashabiki wa Simba sc juu ya Kejeli na kusema kuwa "Belouzdad wataichapa Yanga"

Hakuna shabiki anayezungungumzia ugumu alionao Simba sc huko ivory coast, NALIA NGWENA najiuliza je mashabiki wa Simba sc wanaona timu Yao ishachukua point tatu mbele ya Asec??!

Hii mechi ya Asec ndiyo mechi ambayo itapeleka kilio msimbazi na mashabiki wataanza Tena kuimba wimbo wa "Mangungu aondoke"

Kwa jicho langu la ufundi nilivyowatazama Simba sc dhidi ya Mashujaa, Azam Fc, Tabira united bado Kuna tatizo la kiufundi na mbinu kwa wachezaji.

Mpaka Sasa kocha Simba sc Hajapata First eleven toka alipotoka kwenye kombe la Mapinduzi na mashabiki waliamini Kocha atalitumia kombe la Mapinduzi kuwasoma wachezaji na kutengeneza "chemistry"

Lakini imekua tofauti kabisa kwa kocha wa Simba sc.

Mechi ya Asec ni mfupa ngumu uliomshinda Fisi na Asec Ina Vijana wenye Kasi tofauti na Simba sc yenye wachezaji ambao umri umekwenda.
 
Mechi kama izi simba uwa wanakaza sana naiyomba kabisa simba akienda kutoboa kule kama sio kwa ushindi basi sare lkn simba atapoteza
 
Mechi ni ngumu sana tu. Kinachoiongezea ugumu mechi hii ni kuwa ASEC Mimosas na WaIvory Coast bado wako kwenye ujinga wa kudhani Morocco iliwafanyia favor kubwa kwenye mashindano ya AFCON 2023, kwa hiyo watacheza jihadi ya kufa mtu ili kuisaidia Wydad ivuke. Ninaamini kuna mashabiki wao watakuja na bendera za Morocco uwanjani ila watazificha hadi watakapoona matokeo yamekuwa rafiki.

Kwa kumalizia, sijajua kama Simba ilikatia rufaa kadi aliyopewa Ayoub Lakred Ile kadi mechi na Wydad ilitakiwa ifutwe.
 
Mechi itakuwa nyepesi kwa Simba kwasababu kila mmoja anahitaji tu point moja ili ajihakikishie kufuzu.
 
Asec hajacheza mechi yoyote mwaka Huu nadhani Simba inaweza kutumia mwanya Huu kutafuta matokeo mapema.
 
Asec mimosa alishafuzu tayali Kwa hiyo hatoipa uzito mechi yake na Simba. Acha kutisha watu
Ni kweli ameshafuzu lakini usidhani kama atalegeza kamba maana anataka amalize nafasi ya Kwanza kwenye kundi.. unaijua faida ya kumaliza wa Kwanza kwenye kundi?

Kwanza utapangwa na aliyemaliza nafasi ya pili kwenye kundi lingine.. pili utaanzia ugenini na kumalizia nyumbani...

So game haitakua nyepesi japo Simba ana nafasi nzuri ya kupata hata Sare na game ya mwisho atakua home dhidi ya Galaxy
 
Naona kelele za Mashabiki wa Simba sc juu ya Kejeli na kusema kuwa "Belouzdad wataichapa Yanga"

Hakuna shabiki anayezungungumzia ugumu alionao Simba sc huko ivory coast, NALIA NGWENA najiuliza je mashabiki wa Simba sc wanaona timu Yao ishachukua point tatu mbele ya Asec??!

Hii mechi ya Asec ndiyo mechi ambayo itapeleka kilio msimbazi na mashabiki wataanza Tena kuimba wimbo wa "Mangungu aondoke"

Kwa jicho langu la ufundi nilivyowatazama Simba sc dhidi ya Mashujaa, Azam Fc, Tabira united bado Kuna tatizo la kiufundi na mbinu kwa wachezaji.

Mpaka Sasa kocha Simba sc Hajapata First eleven toka alipotoka kwenye kombe la Mapinduzi na mashabiki waliamini Kocha atalitumia kombe la Mapinduzi kuwasoma wachezaji na kutengeneza "chemistry"

Lakini imekua tofauti kabisa kwa kocha wa Simba sc.

Mechi ya Asec ni mfupa ngumu uliomshinda Fisi na Asec Ina Vijana wenye Kasi tofauti na Simba sc yenye wachezaji ambao umri umekwenda.
Kwani Assec ni nani?
 
Back
Top Bottom