Je, Simba wataachana na Chama baada ya mkataba kuisha?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
#NBCPL: Nyota wa Simba SC, Clatous Chota Chama ameshacheza mechi nne za NBC Premier League, tangu arejee kutoka kwenye michuano ya #AFCON2023 iliyofanyika nchini Ivory Coast.

Katika mechi hizo, Mwamba huyo wa Lusaka, ameshacheka na nyavu mara mbili, akifunga kwenye mchezo dhidi ya Azam FC na leo dhidi ya JKT Tanzania.

Mbali na magoli, Chama ametoa pasi mbili zilizozaa magoli. Pasi hizo alitoa kwenye mchezo dhidi ya Tabora United ambapo Simba ilishinda magoli 4-0.

Mashabiki wa kolo fc mnasemaji kuhusu Chama?
1708017091955.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2905695

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Jamaa naona anapambana alambe mkataba mpya, sio mchezo.
 
Kipindi kile cha Mapinduzi baada ya kumsimamisha walimponda naona leo wamekuwa wapole. Mechi mbili Chama anawabeba.

Kwa kifupi hawana kiungo mwengine ambaye mbunifu kama Chama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom