Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,698
- 12,425
Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast.
Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya ugenini ya viporo Simba SC dhidi ya Mashujaa FC na Tabora United, mchezo wa Januari 31 hatakuwa sehemu ya mchezo.
Credit-Nassib Mkomwa
Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya ugenini ya viporo Simba SC dhidi ya Mashujaa FC na Tabora United, mchezo wa Januari 31 hatakuwa sehemu ya mchezo.
Credit-Nassib Mkomwa