Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Ume conclude mjadala umefungwa
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Chalinze muda si mrefu sana itakuwa ni Manispaa kama kasi ikienda kama ilivyo sasa hivi
 
Hii ni sawa na kusema self container lakini choo cha shimo, sawa mkuu ntakaribia ila usomi wa kujisifia maprado hauna tija mkuu
 
Nadhani umeangalia mji wa Bukoba na baadhi ya mahoteli machache niliyokuwekea na uniambie Chalinze yako ina lipi la kujivunia na kuipita miji uliyotaja
Mkuu mimi sio wa chalinze ila najadili hoja ilioko mezani, bukoba kuna hotel angalau ya nyota 3
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Labda chalinze ya kipindi cha JK.
Hii chalinze ya sasa imepauka kinoma. Nilipita hapo miezi kadhaa na nililala nikisubiri connection ya bus kesho yake nikajikuta nikiulilia mji kwa jinsi ulivyorudi nyuma kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…