Chalamila naona umepitiwa kaka

Chalamila naona umepitiwa kaka

sio sawa eneo kama Sinza kwa mfano, around saa 12 jioni tayari utaona madada wamevaa hovyo, wanavuta masigara, huku watoto wakipita na kushuhudia, asubuhi watoto wanakwenda mashuleni wanapita wanaona huo ujinga - HII HAIJAKAA SAWA HATA KIDOGO.

Mitaa ya Mwananyamala, Manzese, Tabata, Buguruni nk, kote hali ni mbaya sana, mapema kabisa unaona madada wamejianika huku mitaani watoto wakienda na kurudi mashuleni, watoto wakicheza na kushuhudia huo ujinga.

Lazima tukubaliana hili suala liko "out of control" na linahitaji control sasa ya mamlaka ili kujenga kizazi makini na imara.
Ukahaba Tanzania limekuwa jambo rahisirahisi sana na chanzo chake kikubwa ni malezi tu ambayo lazima woote kama jamii tusimame ili kujenga jamii makini.

Amen brother, mmomonyoko wa maadili umekuwa normalized. Imagine watu wanatetea hili as if ni normal.
This how down tumefika

Although authority zimechelewa kuchukua muda, it time na mikoa mingine ichukue such measures
 
Safi sana chalamila
Nyie mnaomtukana pengine mtaona uchungu mabinti zenu na vijana wenu wakiwa waraibu wa hii biashara
 
Yaani huku ulipoingia naona umepotea kaka.

Huna haki yoyote ile ya kumchagulia mwananchi cha kuhitaji ukiwachia bange na madawa mengine ya kulevya.

Ngono siyo dhambi ili mradi hajatumia uharamia kuipata hiyo ngono.

Unawezaje kusema utamkamata? Amebaka? Au kuna mlalamikaji?View attachment 2803941

Tabu kiongozi akikosa agenda za kazi
 
Chalamila pitia pia na kule pugu kajiungeni Wilaya ya Ilala ,kuna danguro moja hilo bado jipya jipya kabisa linatwa taa nyekundu.serikali ya mtaa na wajumbe wamekaa kimya.sijui kuna kitu wanapata pale?
 
Kwamba kesi za ubakaji zimepungua sababu ya madanguro?
Pls with evidence na supportive statistics elezea point yako?

With all due respect vitabu vya dini vinaeleza hivyo vitendo ni chukizo kwakwe, how do you think sodoma na gomora vilianza? By normalizing matendo ambayo ni chukizo kwa Mungu?
Soma vizuri unielewe. Kama nia yako ni ligi mimi muda huo sina.
 
Watu wa dsm mnashindikana sasa. Mbona mikoani hamna madanguro na maisha yanaenda ?
 
Swali moja tu kwa Chalamila.
Ukikomesha umalaya Dar, wateja wa Malaya umewapa mbadala gani?
Nyege haina dawa punyeto linatuliza kwa muda tu, ili nyege itoke lazima utelezi wa binadamu. Halafu nyege inahamisha akili kutoka kichwani kuja chini kwenye kichwa Cha abdala kichwa wazi.
Ndio maana watu na heshima zao wadhalilika mbele ya wanawake.
Uombe mjadala wa kitaifa,
 
Madanguro hayapaswi kuwa hovyohovyo mitaani kwenye makazi ya watu.

waweke utaratibu kwa hayo madanguro kuwekwa mbali huko ambako watu hawaishi.
Hata hizi sehemu za starehe hovyo hovyo mitaani kwenye makazi ya watu zitolewe ziwekwe mbali na makazi ya watu pia.
Sasa wakienda huko ambako watu hawaishi,wao ni wanyama? Hutaki,pita zako nenda. Anaehitaji,ataweka kituo
 
Safi sana chalamila
Nyie mnaomtukana pengine mtaona uchungu mabinti zenu na vijana wenu wakiwa waraibu wa hii biashara
IMG-20231105-WA0003.jpg
 
sio sawa eneo kama Sinza kwa mfano, around saa 12 jioni tayari utaona madada wamevaa hovyo, wanavuta masigara, huku watoto wakipita na kushuhudia, asubuhi watoto wanakwenda mashuleni wanapita wanaona huo ujinga - HII HAIJAKAA SAWA HATA KIDOGO.

Mitaa ya Mwananyamala, Manzese, Tabata, Buguruni nk, kote hali ni mbaya sana, mapema kabisa unaona madada wamejianika huku mitaani watoto wakienda na kurudi mashuleni, watoto wakicheza na kushuhudia huo ujinga.

Lazima tukubaliana hili suala liko "out of control" na linahitaji control sasa ya mamlaka ili kujenga kizazi makini na imara.
Ukahaba Tanzania limekuwa jambo rahisirahisi sana na chanzo chake kikubwa ni malezi tu ambayo lazima woote kama jamii tusimame ili kujenga jamii makini.
Huwezi kuwapangia watu wavaaje na pia huwezi kuwazuia kuvuta sigara
 
Yaani huku ulipoingia naona umepotea kaka.

Huna haki yoyote ile ya kumchagulia mwananchi cha kuhitaji ukiwachia bange na madawa mengine ya kulevya.

Ngono siyo dhambi ili mradi hajatumia uharamia kuipata hiyo ngono.

Unawezaje kusema utamkamata? Amebaka? Au kuna mlalamikaji?View attachment 2803941
Ukiona hivyo kupitia ngono kapigwa na kitu kizito sasa anatumia msuli wa dola kulipa kisasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom