Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,402
Ni mjinga sanaYaani huku ulipoingia naona umepotea kaka.
Huna haki yoyote ile ya kumchagulia mwananchi cha kuhitaji ukiwachia bange na madawa mengine ya kulevya.
Ngono siyo dhambi ili mradi hajatumia uharamia kuipata hiyo ngono.
Unawezaje kusema utamkamata? Amebaka? Au kuna mlalamikaji?View attachment 2803941