Chalamila naona umepitiwa kaka

Chalamila naona umepitiwa kaka

Huyu jamaa ni bwege tu, they are far more important matters to deal with kuliko kuingilia faragha za watu! Hana tofauti na mtu anayekuja kuchungulia kwenye gari la mtu binafsi na akikuta watu wanafanya mapenzi anawaletea ukuda eti wanafanya mapenzi hadharani.
 
Yaani huku ulipoingia naona umepotea kaka.

Huna haki yoyote ile ya kumchagulia mwananchi cha kuhitaji ukiwachia bange na madawa mengine ya kulevya.

Ngono siyo dhambi ili mradi hajatumia uharamia kuipata hiyo ngono.

Unawezaje kusema utamkamata? Amebaka? Au kuna mlalamikaji?View attachment 2803941
hajapotea, nyie ndio wapotovu wazinifu wakubwa , chalamila yuko sahihi na tunamuunga mkono, acheni kuendekeza zinaaa, unaambiwa mpaka watoto wanakwenda huko kuna usalama kweli, na taifa gani tunalolijenga.
 
Huyu jamaa ni bwege tu, they are far more important matters to deal with kuliko kuingilia faragha za watu! Hana tofauti na mtu anayekuja kuchungulia kwenye gari la mtu binafsi na akikuta watu wanafanya mapenzi anawaletea ukuda eti wanafanya mapenzi hadharani.
bwege ww labda lakini Chalamila yuko sahihi , acheni zinaaa,
 
Bwege tu badala akemee wizi wa mabilioni ya kodi za wananchi, usafiri Udart wa kusuasua anakimbilia kwenye madanguro ili apate cheap popularity. Stupid madhafaka!!!
 
Yaani huku ulipoingia naona umepotea kaka.

Huna haki yoyote ile ya kumchagulia mwananchi cha kuhitaji ukiwachia bange na madawa mengine ya kulevya.

Ngono siyo dhambi ili mradi hajatumia uharamia kuipata hiyo ngono.

Unawezaje kusema utamkamata? Amebaka? Au kuna mlalamikaji?View attachment 2803941
Mjumbe kosa ni lako, ema huna uelewa au huna adabu. Kama kula rushwa ni kosa (hilo hujakataa) iweje kutoa rushwa isiwe kosa? Kama kujiuza kwenye danguro ni kosa (nalo hujakataa) iweje kununua kwenye danguro isiwe kosa? Ni mawazo yamekaa kiCHADEMACHADEMA kutetea haki bila wajibu: Je mwaamume kwenda kununua ngono kwenye danguro za wanaume hilo utasema ni tumehuru? Sheria ni msumeno hukata kotekote. Msiitukane Nji kwa ujanjaujanja, Rais yupo hapo kawakilishwa na Chalamila. At the very least huna adabu.
 
Mm naamini mtenda dhambi yeyote anapenda kucha siku moja ila ni kuwa hawezi

Kwa hiki alichokifanya Rc kuna wengine kimewasaidia kuacha na kutubu. Mungu ampe nguvu zaidi
 
Huyu RC anaacha kuweka mipango thabiti ya kupambana na uchafu/takataka zilizozagaa kila kona ya jiji la DSM anaanza kupambana na faragha za watu.

Ni ajabu mwananchi anatumia kikojolewa chake lkn Chalamila anaumia huko ofisini kwake.

Hakuna popote kwenye sheria ama katiba palipoandikwa kwamba mtu kugawa uroda ni kosa la jinai. Tukiungana mafusika , machangu na wanaume wanaonufaika na "ngono-ubwete" Chalamila tunamfunga.
Tuungane basi,
Hizi mvua zinaleta hali fulani hiv ya kutamani haya maswala
 
Huyu RC anaacha kuweka mipango thabiti ya kupambana na uchafu/takataka zilizozagaa kila kona ya jiji la DSM anaanza kupambana na faragha za watu.

Ni ajabu mwananchi anatumia kikojolewa chake lkn Chalamila anaumia huko ofisini kwake.

Hakuna popote kwenye sheria ama katiba palipoandikwa kwamba mtu kugawa uroda ni kosa la jinai. Tukiungana mafusika , machangu na wanaume wanaonufaika na "ngono-ubwete" Chalamila tunamfunga.
Wewe sexless wewe,kila biashara ni lazima iwe na eneo husika na ni lazima usajiliwe na walipe kodi,sasa unapomlaumu chalamila kwa kushughurika na hayo madanguro bubu,ni kukosa hekima,wewe kama unataka kuendesha biashara ya danguro,sajiri na ulipe mapato,ukifanya hayo nani atakubughudhi. Sio saloon ya kunyoa igeuzwe kuwa dangerous bubu.
 
Ngono siyo dhambi ili mradi hajatumia uharamia kuipata hiyo ngono.
Hii ndio dhambi inayotetewa kuliko dhambi zote hata watu kufikia kusema sio dhambi🙆🙆🙆🙆
 
Madanguro hayapaswi kuwa hovyohovyo mitaani kwenye makazi ya watu.

waweke utaratibu kwa hayo madanguro kuwekwa mbali huko ambako watu hawaishi.
Hata hizi sehemu za starehe hovyo hovyo mitaani kwenye makazi ya watu zitolewe ziwekwe mbali na makazi ya watu pia.
Na hayo madanguro yasajiliwe,na walipe mapato,huwezi kuendesha biashara ya makahaba holela tu.
 
Yaani huku ulipoingia naona umepotea kaka.

Huna haki yoyote ile ya kumchagulia mwananchi cha kuhitaji ukiwachia bange na madawa mengine ya kulevya.

Ngono siyo dhambi ili mradi hajatumia uharamia kuipata hiyo ngono.

Unawezaje kusema utamkamata? Amebaka? Au kuna mlalamikaji?View attachment 2803941
Ngono ni dhambi ila sio jinai na serikali haiwajibiki kukomesha dhambi inawajibika kukomesha jinai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom