Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,282
- 9,913
Kama upo serious na nafasi hiyo na nifuatiliaji wa mambo huwezi kupotoshwa kibwege namna hiyoNaamini kuna sababu nyingine iliyofanya Chalamila akaondolewa ofisini tofauti na hiyo uliyoandika hapa.
Kama ulichokiandika kina ukweli basi watendaji wake Chalamila ndio watakuwa wamemponza, hivyo sikutegemea wewe uje hapa uanze kumlaumu Chalamila moja kwa moja wakati mtu hata miezi mitatu alikuwa bado hajamaliza ofisini.
Hata kama shida yako ni hiyo taarifa kuondoa umiliki wa serikali wakati kimsingi bado upo kama unavyodai, bado sioni sababu ya kumuondoa Chalamila ofisini kwa issue ambayo ingemalizwa ndani ya dakika chache tu kwa kufanyia marekebisho palipokosewa kwenye hiyo taarifa.