Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,028
- 52,505
raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau