Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

kaka mshana nadhani nami ni mhanga wa mama mdigo....mimi nilikuwa nakaa oppoite na mzee mafarasi pale jirani na kwa wauza pombe chafu za mnazi
 
Miaka hii wamejiongeza. Wanapikia maji yaliyooshea maiti

Hayo maji yanauzwa na wale wahudumu wa mortuary.

Kujiongeza hata maiti zingine zanyofolewa baadhi ya viungo na wanasema ni bonge la dili.

mshana jr unasemaje hapo my Valentine?
 
Uchawi mkubwa uliokua unawavuta watu hapo ni shepu la huyo mama mdigo na wanawe. Wabongo hujawajua saikolojia yao Mshana, wewe fungua biashara kama ya Restaurant, Bar, duka la vyakula au nguo halafu weka wadada wenye shepu kama za huyo mama Mdigo tena wawe wachangamfu na wanaopenda utani uone wateja hasa wanaume watavokua wanajazana hapo kwenye biashara yako. Yupo jamaa yangu muhasibu kwenye wizara flani anapenda sana wadada wenye msambwanda alijikuta ananunua fenicha za million mbili bila kua na mpangilio au budget nazo(Ilikua enzi ya Mkwere lakini). Kisa kwenye hilo duka la Pugu Road yupo dada Mashaallah kwa umbo na sauti, halafu anakupokea anakuzuungusha kwenye bidhaa mpo wawili tu!
yeah naweza kukubaliana nawe kwa kiasi fulani
 
Mkuu Mshana unanifurahisha sana na mada zako. Huwa unaziandika kwa weledi na kwa kiswahili kilichonyooka na pia zinagusa uhalisia wa matukio yenyewe. Keep up the good work you are the legend!
 
Umenikumbusha pia tukio lililotokea mwanzoni mwa miaka ya 2000 pale mmiliki wa ukumbi wa Silent Inn maeneo ya Mwenge ndugu Fredrick Rwegasila na alipoamua kuokoka alienda kwenye ukumbi wake wachungaji walitoa matunguli kibao aliyokuwa akiyatumia kuvuta wateja waje kwenye ukumbi wake na pia baa ya Silent Inn.
 
kaka mshana nadhani nami ni mhanga wa mama mdigo....mimi nilikuwa nakaa oppoite na mzee mafarasi pale jirani na kwa wauza pombe chafu za mnazi
Mmh aisee pale napajua sana pale... Mafarasa asiyevaa suruali wala viatu... Alikuwa na pikipiki yake ile bata V...
 
Miaka hii wamejiongeza. Wanapikia maji yaliyooshea maiti

Hayo maji yanauzwa na wale wahudumu wa mortuary.

Kujiongeza hata maiti zingine zanyofolewa baadhi ya viungo na wanasema ni bonge la dili.

mshana jr unasemaje hapo my Valentine?
loading.... Yale maji ni dili hasa na yana matumizi mengi sana
 
Hivi vitu sio vya kupuuza kule mwananyamala kuna baba mmoja alikuwa anauza lungs za ng'ombe (mapupu) bandama figo nk nk kama soup ya jioni.....huwezi amini mazingira yalikuwa chini ya mti kuna gogo lkn ukifika pale kuna foleni unapewa kibakuli cha plastic kavu then unapanga foleni ya kupakuliwa mapupu wazee wa posta walikuwa lazima wapaki magari pale wapate mapupu then waendelee na hamsini zao
 
Back
Top Bottom