Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Kuna wengine ni ubora wa vitu vyao. Mfano kuna dada pale kituo cha mlimani citi kama unatokea mwenge yupo nje anauza chai asubui. Aisee zile chapati si sayari hizi nzuri sana mpka nilimuuliza anatumia nini.
Kuhusu ndumba kuna dada mmoja yupo kimara huyo hata mfanyakazi hana anafanya kazi zote mwenyewe SWALI LA KWANZA anawezaje kumudu kazi zote za mama ntilie peke yake.....yaani kuna watu wanaacha kula kwao ndani wanaagiza kwake.

Pia kuna muuza samaki yupo njia ya kwenda bonyokwa panaitea KWA MREMA ni maarufu sana anautwa MPONDA huyo jamaa akiwa feri anapigiwa simu za oda ya samaki.
Ujumaa hapiki...pesa anapokea na mkono wa kushoto...akirudi feri anakuta foleni kama ya uchaguzi mkuu eti watu wanasuburi samaki.....saa saba ashamaliza samaki wake wote ndo wauzaji wengine wanaanza sasa....
Duuu hii ya muuza samaki inaitwa funika bovu
 
Hapo lazima mnachanganyiwa mavitu ya ajabu sana.

Ukute Maji anayopikia anachanganya na aliyofulia chupi au aliyotawazia.

Kama vipi jenga urafiki na mfanyakazi wake mmoja atakupa siri zote.
Kuna tuhuma za kutumia maji ya mochwari lakini sijawahi kuthibitisha hili
 
Huku goba mwembe madole miaka 2008 palikua Na mama mmoja wakizaramo tulikua tunamuita mama Punja tuenee ni noma anakutukana na msosi unanunua tulikua tunagombea ubwabwa mama Katanga za domo
 
Kuna wengine ni ubora wa vitu vyao. Mfano kuna dada pale kituo cha mlimani citi kama unatokea mwenge yupo nje anauza chai asubui. Aisee zile chapati si sayari hizi nzuri sana mpka nilimuuliza anatumia nini.
Kuhusu ndumba kuna dada mmoja yupo kimara huyo hata mfanyakazi hana anafanya kazi zote mwenyewe SWALI LA KWANZA anawezaje kumudu kazi zote za mama ntilie peke yake.....yaani kuna watu wanaacha kula kwao ndani wanaagiza kwake.

Pia kuna muuza samaki yupo njia ya kwenda bonyokwa panaitea KWA MREMA ni maarufu sana anautwa MPONDA huyo jamaa akiwa feri anapigiwa simu za oda ya samaki.
Ujumaa hapiki...pesa anapokea na mkono wa kushoto...akirudi feri anakuta foleni kama ya uchaguzi mkuu eti watu wanasuburi samaki.....saa saba ashamaliza samaki wake wote ndo wauzaji wengine wanaanza sasa....
We jamaa asee kweli nami nipo huku kimara uyo jamaa namfahamu asee na mimi alisha nipangisha foleni asee
 
Inatisha.
Hivi wale wa mihogo ya coco beach hawana hizo mambo, maana mie nina membership card pale.
Eti mshana
Pale napo kuna mambo asee usije kuta tunalishwa mavi ya ng'ombe yaliyo kauka si tunaona Muogo... Mwenye jicho la tatu akatuangalizie awe kama TFDA wetu
 
Sem nin hiƴo chai m mwenƴew ningeinƴw tu ƙwan ƙitu gan ɓanaa..
 
Back
Top Bottom