Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Duuu hii ya muuza samaki inaitwa funika bovu
 
dunia ina mambo........leo umenivulugia siku kias maana nilikuwa natembea kutoka mbagala kizuian hadi rangi tatu kwenda kula kwa mama falha wakati mama ntilie zilikuwa kibao pale kizuian sokon nk.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hapo lazima mnachanganyiwa mavitu ya ajabu sana.

Ukute Maji anayopikia anachanganya na aliyofulia chupi au aliyotawazia.

Kama vipi jenga urafiki na mfanyakazi wake mmoja atakupa siri zote.
Kuna tuhuma za kutumia maji ya mochwari lakini sijawahi kuthibitisha hili
 
Duuu hii ya muuza samaki inaitwa funika bovu
Kuna siku Mzee mmoja alienda pale kununua samaki kumbe anamambo yake... Jamaa akamfokea sana akamrudishia pesa yake na samaki kampa.
Kuna mama muuza samaki walipushana kiswahili akamwambia huuzi mpka nimalize ikawa hivyo ikabidi mama yule akauzie Kimara mwisho
 
Huku goba mwembe madole miaka 2008 palikua Na mama mmoja wakizaramo tulikua tunamuita mama Punja tuenee ni noma anakutukana na msosi unanunua tulikua tunagombea ubwabwa mama Katanga za domo
 
We jamaa asee kweli nami nipo huku kimara uyo jamaa namfahamu asee na mimi alisha nipangisha foleni asee
 
Inatisha.
Hivi wale wa mihogo ya coco beach hawana hizo mambo, maana mie nina membership card pale.
Eti mshana [emoji30] [emoji15] [emoji27] [emoji26] [emoji28] [emoji29] [emoji29]
Pale napo kuna mambo asee usije kuta tunalishwa mavi ya ng'ombe yaliyo kauka si tunaona Muogo... Mwenye jicho la tatu akatuangalizie awe kama TFDA wetu
 
Sem nin hiƴo chai m mwenƴew ningeinƴw tu ƙwan ƙitu gan ɓanaa..[emoji54]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…