Unajua wengi tunafahamiana kabisa humu ndani basi tu avatar na ID zetu ndio ngeniMkuu Mshana jr, inawezekana tunafahamiana. Mimi nimeishi mitaa hiyo hiyo miaka tangu 1986 mpaka 2002. Upande huo huo wa huyo mama ntilie ,lakini kule chini kuelekea Msewe.
Ukiwa pale mida ya saa moja mpaka saa mbili hupati sehem ya kusimama. Manyau nyau ingekua enzi zake pale angetoa vichwa vya watu pale.Tayari keshazifanyia kolabo pengine
Nimemiss wali nazi [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] yanini halafu sinayo...
Haya mkuu.. Ila heshima yako sana mkuu, visa ulivyopitia sio mchezo kabisa [emoji119] [emoji1][emoji13] [emoji13] [emoji13] ungekuwa mkweli ningekupatia
[emoji3] [emoji13] [emoji3]kuna watu akikuomba pesa ukampa anachukua nyingine kimazingara au akija kwenye biashara yako akikuomba chenji imekula kwakoNa kujua Kiswahili kwangu kote ila sijui maana ya chuma ulete. Msaada tafadhali.