Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Wafanye vyote tu ila madamu kesi za matumbo na vifo hakuna na hazisikiki basi ni sawa, ila niwashukuru kwa huduma zao maana kwa ile buku anayoipata mtu huweza kupata mlo wa kutwa,
Cha muhimu wazidishe ubunifu wa hzo njia zao za kutushika wateja wao
 
Baada ya mwaka nilihamia Mtoni kwa Aziz Ally karibu na uwanja wa Sifa... Lakini huwezi kuamini ilikuwa siwezi kumaliza wiki lazima nitoke Mtoni kwa Aziz Ally mpaka Ubungo kibo kisa tu kufuata chakula cha mama Mdigo...

Hawa ilikuwa ni C&P toka kwa mama yao kuhusiana na swala zima la wajihi na maumbile (shape) kiuno nyonga ya nyigu nakazalika mbili...

Tehe tehe

Kuchanganya chakula na kitu kama yai viza nk

Biashara yake ilishamiri mwaka fulani wa uchaguzi
 
Kuna wengine ni ubora wa vitu vyao. Mfano kuna dada pale kituo cha mlimani citi kama unatokea mwenge yupo nje anauza chai asubui. Aisee zile chapati si sayari hizi nzuri sana mpka nilimuuliza anatumia nini.
Kuhusu ndumba kuna dada mmoja yupo kimara huyo hata mfanyakazi hana anafanya kazi zote mwenyewe SWALI LA KWANZA anawezaje kumudu kazi zote za mama ntilie peke yake.....yaani kuna watu wanaacha kula kwao ndani wanaagiza kwake.

Pia kuna muuza samaki yupo njia ya kwenda bonyokwa panaitea KWA MREMA ni maarufu sana anautwa MPONDA huyo jamaa akiwa feri anapigiwa simu za oda ya samaki.
Ujumaa hapiki...pesa anapokea na mkono wa kushoto...akirudi feri anakuta foleni kama ya uchaguzi mkuu eti watu wanasuburi samaki.....saa saba ashamaliza samaki wake wote ndo wauzaji wengine wanaanza sasa....
 
dunia ina mambo........leo umenivulugia siku kias maana nilikuwa natembea kutoka mbagala kizuian hadi rangi tatu kwenda kula kwa mama falha wakati mama ntilie zilikuwa kibao pale kizuian sokon nk.
 
kula kula ovyo,kula vyakula kwa wanawake ambao unawalingia mtaani,n.k subiri hayo
 
Ndio kijiji nilichokulia kilikuwa funika bovu na palikuwa na njiapanda mbili zinakutana.. Hivyo kulikuwa na muunganiko wa njia sita kwa wakati mmoja... Mito miwili nayo ilikuwa inakutana hapo na madaraja mawili... Ni sehemu ya ajabu kwakweli... Sasa hapo mahali nikiamua kuandika kitabu sijui nitajaza kurasa ngapi
Naomba uje na simulizi yake tafadhari, maana inaonesha umepitia mengi sana yaliyokukomaza mpaka umekuwa hivyo ulivyo sasa, utatusaidia kutufungua masikio sisi ambao hatujakutana nayo
 
Dah mkuu ni kweli n hayo mamboz yapo hapa kijiweni kuna mdada anauza kwelikweli ila muda wa kula yy anaend nunua soda n mkate ama anasong ugali wake ukut anakula kile anachotuzia si yy wala mabinti zake. Niliwai wauliza kwann awali nikajibiwa chakula ukipika kinakinaisha

Hapo lazima mnachanganyiwa mavitu ya ajabu sana.

Ukute Maji anayopikia anachanganya na aliyofulia chupi au aliyotawazia.

Kama vipi jenga urafiki na mfanyakazi wake mmoja atakupa siri zote.
 
Back
Top Bottom