Chai ya maziwa ya Mwanamke

Chai ya maziwa ya Mwanamke

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,878
Reaction score
10,515
Nchini Uingereza mama mmoja amekuwa akikamua maziwa yake na kuyatumia kupikia chai ya wanafamilia.
Wanafamilia wamekiri chai hiyo kuwa na virutubisho vingi sana. Na wanaipenda

Kwa TZ wapo wanaosema yana ondoa hang-over Je ni kweli?
 
Huku itakuwa na ugwadu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanafamilia wamejuaje ina virutubisho? Wana maabara kama ya tfda?
 
That is the last thing i,ll taste nikiwa na akili timamu. Sipati picha matiti ya huyo mama ni makubwa kiasi gani mpaka yatoshe kukamua maziwa ya familia, nadhani ni type ya akina mama ambao akipiga deki akiwa hajavaa kitu juu utadhani ana mikono minne.
 
Tusiwanyang'anye watoto chakula chao. Sio sawa.
 
Yale maziwa yana ladha mbaya. Tungekua tunayanyonya tukiwa wakubwa tusingekua tunayameza.
 
Nyie ndo wale hata mkiona watu wanageuzana huko nchi za nje nanyi mnataka kuiga.
 
yani kila kukicha linaibuka jambo jipya!!!
 
That is the last thing i,ll taste nikiwa na akili timamu. Sipati picha matiti ya huyo mama ni makubwa kiasi gani mpaka yatoshe kukamua maziwa ya familia, nadhani ni type ya akina mama ambao akipiga deki akiwa hajavaa kitu juu utadhani ana mikono minne.
kwani wingi wa maziwa unategemea size ya matiti!!
 
Haya maziwa ni matamu haswa.....
 
Normally huwa kuna vifaa maalumu vya kukamua maziwa ya mwanamke...kuna wanawake wasionyonyesha huwa pia wanatumia vifaa hivyo kuwa kamulia wanao.

That is the last thing i,ll taste nikiwa na akili timamu. Sipati picha matiti ya huyo mama ni makubwa kiasi gani mpaka yatoshe kukamua maziwa ya familia, nadhani ni type ya akina mama ambao akipiga deki akiwa hajavaa kitu juu utadhani ana mikono minne.
 
Hakuna kiumbe chochote duniani kinacho kunywa maziwa ya kiumbe mngine isipokua binadam tu, tunakunywa maziwa ya ngombe au mbuzi. Pia hakuna kiumbe kingine kinacho kunywa maziwa baada ya utoto, isipokua binadam tumejiweka kunywa maziwa hadi uzeeni. Binafsi I would rather drink human milk than cow or goat milk.
 
Si ile mi protein ya uhakika?
 
huyu n mama aina ya flesiant mkuu, n tofaut kidogo na wa huku kwetu (hyfers)
 
Back
Top Bottom