Chai ya maziwa ya Mwanamke

Hakuna kiumbe chochote duniani kinacho kunywa maziwa ya kiumbe mngine isipokua binadam tu, tunakunywa maziwa ya ngombe au mbuzi. Pia hakuna kiumbe kingine kinacho kunywa maziwa baada ya utoto, isipokua binadam tumejiweka kunywa maziwa hadi uzeeni. Binafsi I would rather drink human milk than cow or goat milk.

Can you drink your own? (I presume you are a woman)
 
Si ile mi protein ya uhakika?
Unajua human being (or any mamal) anapo zaliwa anakua hajamaliza kuumbika
maziwa yanakuja na additional nutriments to help the baby get to maturity
Maziwa ya n'gombe alie zaa n'gombe jike ni tofauti na alie zaa n'gombe dume
In the milk kuna kemikali zinazo msaidia yule ndama to mature his sexuality
Sasa sisi tunapo kunywa maziwa ya n'gombe hatuchagui, tunawapa tu watoto
hakuna evidence kua this has an impact on human sexuality, but vile vile
hakuna evidence kua it has absolutely zero impact. and this is only sexuality
kuna mengine mengi yanayo kuja katika maziwa, specialy designed for cows
sisi as humans tunapo yanywa yale maziwa tunajiexpose sana I believe...
 
Can you drink your own? (I presume you are a woman)
good guess (I am a woman).
I can't drink any milk because I am not a baby. that's the point.
Milk is designed for babies, not grown up humans (or mamals)
but if I am in a situation where I have to drink milk or die then yes,
I would drink my own milk. and I would chose it over cow milk.
 
That is the last thing i,ll taste nikiwa na akili timamu. Sipati picha matiti ya huyo mama ni makubwa kiasi gani mpaka yatoshe kukamua maziwa ya familia, nadhani ni type ya akina mama ambao akipiga deki akiwa hajavaa kitu juu utadhani ana mikono minne.
hahahaha
swollenknees-resizecrop--.jpg
 
Haya maziwa ni matamu haswa.....

sio matamu mi hapa nanyonyesha hata yakiwa yanamwagika nikijaribu kuonja nashindwa kumeza, sio matamu, labda watoto wachanga ndo wanaona matamu ila kwa mtu mzima hapana
 
yanaladha mbaya , na hayana virutubisho vya kukidhi haja ya mwili kwa mtu mzima ndiyo maana mtoto akifikisha miezi 6 inabidi aongezewa chakula kingine cha ziada.( chini ya miezi 6 ni chakula kizuri sana kwa afya ya mtoto)
 
That is the last thing i,ll taste nikiwa na akili timamu. Sipati picha matiti ya huyo mama ni makubwa kiasi gani mpaka yatoshe kukamua maziwa ya familia, nadhani ni type ya akina mama ambao akipiga deki akiwa hajavaa kitu juu utadhani ana mikono minne.

una uhakika?? mkinachodetermine wingi wa maziwa ni ukubwa wa matiti?? FYI wapo watu wana matiti madogo lkn wanamaziwa mengi sana tu na hii hutokana na aina ya laishe na biological make up yao. na wapo watu wenye matiti makubwa sana lkn hawana maziwa kabisa. muda mwingine ukubwa wa matiti ni mifuta tu lkn siyo kwamba anamaziwa mengi.

mwanamke siyo kama ng'ombe wa maziwa kwamba akiwa na chuchu na matti makubwa basi anakuwa na maziwa mengi. tena kumbuka ng'ombe huyu analishwa ili awe na haya maziwa so hata akiwa na titi kubwa kama kibiolojia hajaandaliwa kuwa na maziwa mengi na asipolishwa vyema hawez kuwa na maziwa mengi
 
yanaladha mbaya , na hayana virutubisho vya kukidhi haja ya mwili kwa mtu mzima ndiyo maana mtoto akifikisha miezi 6 inabidi aongezewa chakula kingine cha ziada.( chini ya miezi 6 ni chakula kizuri sana kwa afya ya mtoto)
yana ladha mbaya kivipi??
mara ya mwisho ulinyonya maziwa ya mama lini?? maziwa ya mama yana ladha ya chumvi na sukari na sukari imezidi zaid, ila ni mepezi siyo mazito kama ya ng'ombe. siku ya kwanza mama anapozaa maziwa haya huwa na colostrum nyingi hivyo yana virutubisho vingi sana sana. mtoto wa six month hulazimika kuwa nalikaiziwa kwasababu maziwa pekee hayawez kumfanya tumbo lishibe kama alivyokuwa kichanga. na hii hutokana na uwezo wa mwili kustahimili vyakula mbadala lkn pia hii ni ili kumfanya mama asichoke sana mwili wake kwani ukumbuke mama anaponyonyesha basi sehem kubwa ya virutubisho ambavyo aanakula hupelekwa kutengeneza maziwa. mama asipokula vyema mwili wenyewe hujitahd kutumia kisi kidogo cha virutubisho ili kutengeneza maziwa yenye qualitaya huku mam akiachwa kuwa nyongefu na hata kupata utapiamlo wa uzazi.
siku zote kama ni mlaji wa vyakula bora vyema basi maziwa yake yanakuwa na quality nzuri ambayo ina virutubisho vyote muhimu kwa mwanadamu hata kama ni mtu mzee.
 
Mimi nimewahi kuonja siwezikukubali mwanangu ale kitu ambacho sijui radha yake, yako safi tu ila chumvi nyingi kuliko sukari
 
yana ladha mbaya kivipi??
mara ya mwisho ulinyonya maziwa ya mama lini?? maziwa ya mama yana ladha ya chumvi na sukari na sukari imezidi zaid, ila ni mepezi siyo mazito kama ya ng'ombe. siku ya kwanza mama anapozaa maziwa haya huwa na colostrum nyingi hivyo yana virutubisho vingi sana sana. mtoto wa six month hulazimika kuwa nalikaiziwa kwasababu maziwa pekee hayawez kumfanya tumbo lishibe kama alivyokuwa kichanga. na hii hutokana na uwezo wa mwili kustahimili vyakula mbadala lkn pia hii ni ili kumfanya mama asichoke sana mwili wake kwani ukumbuke mama anaponyonyesha basi sehem kubwa ya virutubisho ambavyo aanakula hupelekwa kutengeneza maziwa. mama asipokula vyema mwili wenyewe hujitahd kutumia kisi kidogo cha virutubisho ili kutengeneza maziwa yenye qualitaya huku mam akiachwa kuwa nyongefu na hata kupata utapiamlo wa uzazi.
siku zote kama ni mlaji wa vyakula bora vyema basi maziwa yake yanakuwa na quality nzuri ambayo ina virutubisho vyote muhimu kwa mwanadamu hata kama ni mtu mzee.

narudia kusema maziwa ya mama pekee hayajitoshelezi kwa mahitaji ya kimwili kwa mtoto akifikisha umri wa zaidi ya miezi 6 na hili limefanyiwa utafiti wa kitaalamu halina ubishi..... kuhusu ladha yake kwangu mimi nimeyaonja na kupata ladha mbaya kwakweli.
 
. siku ya kwanza mama anapozaa maziwa haya huwa na colostrum nyingi hivyo yana virutubisho vingi sana sana.

halafu hapa kwa faida yetu wote maziwa yanayotolewa siku za mwanzo (siku ya 1 mpaka 6 au 7) huitwa colostrum ( ambayo huwa ni mazito sana kulinganisha na maziwa ya mama na yanavirutubisho vingi sana) na siyo kwamba maziwa yenyewe ndiyo yanakuwa na colostrum.... faida yake kubwa ni kuwa mtoto huzaliwa na tumbo dogo sana , kwahiyo akiingiza kiwango kidogo cha colostrum basi kiweze kumtosheleza mahitaji yake ya chakula mwilini.pia humsaidia mtoto kusafisha tumbo kwa kuweza kutoa choo cha kwanza (meconium),inachembe za kukinga mwili kutoka kwenye maradhi na chembe za ukuaji ambazo husaidia mfumo wake wa chakula kukua kwa wepesi,na ina antioxidant na antinflammatories properties (kiswahili sikijui hapo) ambayo huulinda utumbo wa mtoto usije ukapata inflammation kwa kuingiza kitu kigeni tumboni.
 
Back
Top Bottom