Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,930
- 1,165
Nchini Uingereza mama mmoja amekuwa akikamua maziwa yake na kuyatumia kupikia chai ya wanafamilia.
Wanafamilia wamekiri chai hiyo kuwa na virutubisho vingi sana. Na wanaipenda
Kwa TZ wapo wanaosema yana ondoa hang-over Je ni kweli?
Itawafaa sana raia wa migodi mikubwa mana kabla ya kusaini pombe huwa inapimwa,kama ikizidi utoe maelezo