sammosses
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,745
- 1,171
Eleweni nyie ni weusi na sio wazungu na mnakabila ya kutosha.Ona Nigeria sera za majimbo zinavyowatesa na ndo nyie mnakokimbilia
Huwezi kupima kina cha maji kwa miguu,majimbo ya Nigeria yamegawanyika kwa misingi ya udini kinyume kabisa na changanyikeni yetu ambayo leo CCM wanataka kutugawa kidini na kikabila.Ndiyo maana wamekuwa wepesi kupokea magarasa ambayo ni waumini wa udini na ukabila huku wakiwatumia kuwahada Watanzani kuwa CDM ni wa dini.
Na kama kweli CDM ni wadini na wakabila basi serikali ya CCM kupitia vyombo vyake vitakuwa vimedhihirisha wazi kuwa kuwa ni dhaifu kwa kushindwa kukifuta CDM katika daftari la msajili, lakini kwa hali ilivyo CCM wakiendelea na sera yao ya kuwaita watu wa dini watakuwa ni zaidi ya vuvuzela kwani hawajui nini kazi yao kama chama cha siasa