CHADEMA yatawala vyombo vya habari vya kimataifa

CHADEMA yatawala vyombo vya habari vya kimataifa

Kikwete alipowakaribisha wapinzani ikulu wazungu wakatuletea charge ya Radar lakini alipopigwa risasi Tundu zile hela za Noah zikaota mbawa pamoja na zile 300Mil
Tubadilishe mtazamo kidogo tuko kwenye njia nzuri tunaharibu kwa mambo ya kijinga kijinga ambayo hata hayasaidii kama haya, Tukirudi kwenye haki nchi hii kwa sasa ingefika mbali kwa haraka zaidi
 
Wahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "

Ukifuatilia vyombo vyote vya Habari vya kimataifa kama vile BBC , DEUTCH WELLE , ALJAZEERA nk , Habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha Chadema , na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu ( kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita )

Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa Mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania , hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji , na kukua kwa CHADEMA ( Chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba ) katika siasa za kidunia .

Mungu ibariki Chadema .
Nyie sumbukeni sijui na vyombo vya kimataifa. Kila siku BBC, DW, wanatuchafua na kutuandika vibaya, Leo ndo mna kuja kudai wanatuandika vibaya? Lini wakishaandika mazuri yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano? Nani haujui kuwa Ujerumani na Marekani na Uingereza hawamfurahii @Jpmagufuli?
Misaada yenyewe wanatuzingua, so wasisumbuke kwani JPM siyo type ya viongozi wa kunyenyekea mataifa ya kikoloni. Wachina wenyewe walitaka kuleta za kuleta kutunyima misaada, lakini walivyoona JPM Ana kuwa karibu na Waturuki, Wakamba watapoteza ushawishi wao tu bure.
Nyie mnadhani mnavyosikia huku DW, BBC, CNN, mnadhani ndo na Wajerumani, Waingereza na Wamarekani huko kwao? Huko kuna vituo yenye mvuto na wala hawasikilizi/hawaangalii sana vituo hivyo, waachi CBS, Sky News na RDA, wasumbuke na media zinazobase international news?
Afrika kuna manchi hayana amani na Hana udikteta wa wazi lakini maisha yanaenda vyema tu. Pamoja na demokrasia mnayotaka kutudanganya kuwa ili kuwepo kabla ya Magufuli, mbona tumekuwa muda wote wa mwisho katika kipato on per capita kwa nchi zote nane (08) zinazotuzunguka (ukitoa Msumbiji)?
 
mkuu asikudanganye mtu.kwa mambo yaliyotendeka hapa tanzania sikudhani kama wazungu wangesapoti serikali ya jpm nimeamini hakuna mzungu anayeipenda afrika kamwe. raha yao tuuane wao wapate vyao. tupambane na hali zetu...
 
Mnauwa watu kwa maandamano haramu ili mpate sifa na kuchafua nchi kimataifa?

Sifa za kijinga hizi.
Maandamano yamekua bunduki, walikua na bunduki nani kati ya police na maandamano? Hv police wasingeenda pale kupiga risasi pangekufa mtu? Mbona Kenya Raila kajiapisha police waliwaacha turn, na hakuna madhara yaliyotokea?
 
Mnauwa watu kwa maandamano haramu ili mpate sifa na kuchafua nchi kimataifa?

Sifa za kijinga hizi.

Miongoni mwa viongozi 6 wa CHADEMA walioshitakiwa kuna mmojawapo anashitakiwa kwa kufyatua risasi na kumuua yule dada Akwilina Akwilini ?

Kama siyo, then who shoot and killed her ? Je, huyo muuaji, kesi yake iko mahakama gani eti ?

Najaribu kukuingizia maswali haya nikiamini kuwa akili yako labda itajiongeza na kuanza kufikiri tofauti kidogo !!
 
Wanashangaza kweli hawa mkuu, wanadai wanataka 'kukomboa' nchi lakini wakiswekwa lupango siku 2 wanaanza kulialia ooh tunaonewa...sasa ukombozi gani huo usio na jasho wala damu?!.
Kumbe unataka Uasi wa msituni kama Congo, Somalia, Burundi, Afrika ya kati, Mali, Libya nk , kumweka mtu lupango kwa Uonevu lazima alalamike au ulitaka wakae kiimya kisha waingie iran kununua nyukilia?
 
Unapopeleka hawa waandamananji mahakamani, aliyepiga risasi utamfanyaje?
Aliyepiga Risasi jana alikaa pale nyuma ya mbowe alikuwa kavaa Tshart ya blue na kapero ni mlinzi wa Maliyamungu idd Amin Bashite na huyo huyo ndiyo alimtolea Bunduki Nape na pia ndiye alikwenda Dodoma na akina Jerry muro kwenye Nissan Nyeupe wakampiga Risasi Tundu Lisu, ni vigumu wamshitaki mpiga Risasi kwani wao ndiyo wamemtuma kila kona kuwadhuru chadema.
 
Jambo hili kwa kuwa limevuka mipaka ya nchi hakika lina athari kubwa sana kwa nchi yetu kiuchumi
kwa mujibu wa cdm uchumi ulikufa siku nyingi sana sasa hizo athali ni kwa uchumi upi tena? uchumi uliokufa unaathilika tena? mnajichanganya.
 
Wakifa watu 100 ama 200 tubebe majeneza. Je hiyo kauli ni halali kwa kiongozi kama mbowe
Kauli ni halali kama watu wanakufa .......... Swali ni je, watu wanakufa au hawafi!!?

Kauli itakosa uhalali kama alisema yeye au wao ndiyo watawaua!!
 
Kiongozi mmoja mkubwa aliyestaafu,aliyependwa na Mwalimu atakuwa kwenye simanzi!..
 
Mzee baba ametaga hana jipya anataka kuabudiwa kumbe nyota yke ya bundi
 
Tanzania opposition leader charged for 'inciting hatred'
The head of Tanzania's main opposition party was charged on Tuesday with inciting hatred and rebellion after being arrested alongside five other members of his party, a legal source said.

Freeman Mbowe, leader of the Chadema party, was charged over his alleged role in a February 16 protest during which a 22-year-old student who was not taking part was shot dead by a stray bullet from police.

Mbowe is being prosecuted on eight charges, according to a source at the Kisutu court in Dar es Salaam, speaking on condition of anonymity.

The charges of inciting hatred and rebellion are linked to a speech Mbowe gave during the protest in which he said President John Magufuli would not last long in his job.


Mbowe and his five co-accused were also charged over their participation in the protest, which had been banned by government.

The other accused are party secretary general Vincent Mashinji, lawmakers John Mnyika, Peter Msigwa and Esther Matiko, as well as Salum Mwalimu of the party's Zanzibar branch.

Their arrest was announced earlier in the day by party spokesperson Tumaini Makene.

Magufuli ordered a probe into the death of the student, and several police officers have been arrested. However authorities maintain the blame lies with the organisers.

Police shot live rounds to disperse Chadema supporters who were marching to a local electoral commission office to demand accreditation to observe a by-election the following day.

Magufuli, 58, took office in 2015 as a corruption-fighting "man of the people" but has been criticised for his authoritarian leadership style with detractors saying he has clamped down on opposition and freedom of expression.

In September 2017, lawmaker Tundu Lissu, a member of Chadema, was shot several times at his home, and in February two local Chadema officials were killed by unknown gunmen, in murders described by the opposition as political assassinations.

Source: Tanzania opposition leader charged for 'inciting hatred'
 
Wahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "

Ukifuatilia vyombo vyote vya Habari vya kimataifa kama vile BBC , DEUTCH WELLE , ALJAZEERA nk , Habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha Chadema , na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu ( kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita )

Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa Mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania , hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji , na kukua kwa CHADEMA ( Chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba ) katika siasa za kidunia .

Mungu ibariki Chadema .
CDM ni wakala wa hao wakoloni mambo leo. Lazima wawapiganie vibaraka wao. Hasa baada ya wakoloni hao kubanwa kutuibia,wameamua kuwapambania vibaraka wao ili waendeleze wizi wao wa rasilimali zetu
 
Back
Top Bottom