miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,516
Mwigulu,Siro na Makonda wanamponza Rais Magufuli!
JPM ndiye kiongozi wa nchi na mwenye dhamana ya taifa la Tanzania hao wengine ni wachumia tumbo tu!
Damu za watanzania kama akinah hayati Akwilina,Sanane na wengine siku ya mwisho zitamliliia JPM mwenyewe !