mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Wahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "
Ukifuatilia vyombo vyote vya habari vya kimataifa kama vile BBC, DEUTCH WELLE, ALJAZEERA nk, habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha CHADEMA na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu (kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita)
Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania, hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji na kukua kwa CHADEMA (chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba) katika siasa za kidunia.
Mungu ibariki CHADEMA.
Wakati Mh Lipumba anasombwa mzegamzega kwenye gari la wazi, kwa kuongoza maandamano, hao walikaa kimya nawe pia hukutia neno!
Mungu wabariki hao wanajiona ndio wenye stahiki ya kutawala nchii hii.
Mungu ibariki CHADEMA