The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,741
- 18,481
Sasa makosa ya kubambikwa ni makosa ..................!!?Kukamatwa bila kosa?
Kwa design hiyo, hata akina Mandela alikamatwa na kufungwa ...............!!
Sasa makosa ya kubambikwa ni makosa ..................!!?Kukamatwa bila kosa?
Acha wajifurahishe tu!Eti kukamatwa "kikatili", ha ha ha.
Na mngetoa shada mapema bila kulazimishwa nani angeandamana?ujinga ni mzigo...nadhani huu sasa ni ushamba tuMbowe asingehamasisha maandamano kuna Mtu angepigwa risasi?
mkurugenz angetoa hati za viapo bila kushurutishwa mbowe angeandamana?Mbowe asingehamasisha maandamano kuna Mtu angepigwa risasi?
Kila siku oh Mandela miaka ishirini na saba sijui nini. Hakuna cha kubambikiwa hapo.Sasa makosa ya kubambikwa ni makosa ..................!!?
Kwa design hiyo, hata akina Mandela alikamatwa na kufungwa ...............!!
hili ni swali la kijinga mno !Mbowe asingehamasisha maandamano kuna Mtu angepigwa risasi?
Mandela alifungwa miaka mingapi?mnajichimbia kaburi na mtajizika wenyeweAcha wajifurahishe tu!
Majamaa watapiga mwaka lupango
Chadema itakomboa nchi na kuirudisha heshima ya Tanzania kimataifaKila siku oh Mandela miaka ishirini na saba sijui nini. Hakuna cha kubambikiwa hapo.
Na yule Mkurugenzi wenu ambaye ni kada wenu asingechelewesha kutoa viapo ambavyo wenzao CCM walikwishavipata, je yule mwanafunzi Akwilina angeuawa??Mbowe asingehamasisha maandamano kuna Mtu angepigwa risasi?
Haya sasa ngoja akina Mbowe nao wafungwe miaka 27 tuone huo umandela wao.Mandela alifungwa miaka mingapi?mnajichimbia kaburi na mtajizika wenyewe
Baada ya vizazi feki vya upinzani kufa kabisa.Chadema itakomboa nchi na kuirudisha heshima ya Tanzania kimataifa
Hebu kwanza waanze kukarabati makao yao makuu. Wanatia aibu.Chadema itakomboa nchi na kuirudisha heshima ya Tanzania kimataifa
mandela miaka 27,Mandela alifungwa miaka mingapi?mnajichimbia kaburi na mtajizika wenyewe
Mbona taarifa za polisi zilithibitisha kuwa polisi ndio waliomuua Aquiline, au hata hilo hulijui, sasa unajua nini.Mnauwa watu kwa maandamano haramu ili mpate sifa na kuchafua nchi kimataifa?
Sifa za kijinga hizi.
Alipigwa swali moja akadai mtangazaji ANAMUONEWA!Nakumbuka mgombea wa chadema 2015 alihojiwa na vyombo vya habari vya "kimataifa" lakini aliangukia pua
Mtu akiandamana hukumu yake ni kupigwa risasi, ukiwa CCM unalishwa nini cha kuzimu ambacho kinakufanya u'halt' kutumia akili.Mbowe asingehamasisha maandamano kuna Mtu angepigwa risasi?
Hahaaaaaa haya majibu mwafaka zaidikwahyo cdm ndio walipiga mabomu ya machoz na kufyatua risasi?
akili kuwa mkndn n tatizo