Wahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "
Ukifuatilia vyombo vyote vya Habari vya kimataifa kama vile BBC , DEUTCH WELLE , ALJAZEERA nk , Habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha Chadema , na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu ( kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita )
Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa Mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania , hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji , na kukua kwa CHADEMA ( Chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba ) katika siasa za kidunia .
Mungu ibariki Chadema .