CHADEMA yatawala vyombo vya habari vya kimataifa

CHADEMA yatawala vyombo vya habari vya kimataifa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,052
Reaction score
285,656
Wahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "

Ukifuatilia vyombo vyote vya habari vya kimataifa kama vile BBC, DEUTCH WELLE, ALJAZEERA nk, habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha CHADEMA na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu (kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita)

Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania, hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji na kukua kwa CHADEMA (chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba) katika siasa za kidunia.

Mungu ibariki CHADEMA.
 
Wahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "

Ukifuatilia vyombo vyote vya Habari vya kimataifa kama vile BBC , DEUTCH WELLE , ALJAZEERA nk , Habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha Chadema .

Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa Mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania , hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji.
Jambo hili kwa kuwa limevuka mipaka ya nchi hakika lina athari kubwa sana kwa nchi yetu kiuchumi
 
Kama kinachoongelewa na Chadema ni cha uongo, si watumie idara yao ya itikadi na uenezi kuzijibu?

Sasa huu mfumo mpya wa siasa wa CCM wa kutuma kikosi cha Polisi kila penye Mkutano wa Chadema na kurekodi, na kumpelekea Mkulu, na yeye kwa "concept" yake ni kuwa kila anayemkosoa ni MCHOCHEZI au MSALITI au siyo MZALENDO ndiko kunakolipeleka Taifa hili shimoni!
 
Mnauwa watu kwa maandamano haramu ili mpate sifa na kuchafua nchi kimataifa?

Sifa za kijinga hizi.
Bunduki iliyoua ni ya nani ebu Acheni ujinga walau kwa siku moja,
Na nani hapa anaewapa wenzie umaarufu kwani mngewaacha wangepata wapi umaarufu?ondoeni umbumbu wenu subirini mvune mnachopanda
 
Ukifuatilia vyombo vyote vya Habari vya kimataifa kama vile BBC , DEUTCH WELLE , ALJAZEERA nk , Habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha Chadema
Exactly, the Main Stream Media, fake news fabricator (Trump, 2016 & Trump, 2017). The oppressive establishment news outlets ,uh! Establishment's vassals were caught naked in a dubious deal around our natural resources. Sishangazwi hata kidogo na kelele zao kuwanadi CDM na wewe mleta mada kucheza 'mdundiko' wao.
 
Back
Top Bottom