CHADEMA yatawala vyombo vya habari vya kimataifa

CHADEMA yatawala vyombo vya habari vya kimataifa

Hao ni wakimataifa siyo wa matopeni, hahahaaaa haaa kazi kwenu
 
Wahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "

Ukifuatilia vyombo vyote vya habari vya kimataifa kama vile BBC, DEUTCH WELLE, ALJAZEERA nk, habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha CHADEMA na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu (kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita)

Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania, hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji na kukua kwa CHADEMA (chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba) katika siasa za kidunia.

Mungu ibariki CHADEMA.
Hawa waendelee kukaa gerezani mana ndiko kunakowafaa
 
Exactly, the Main Stream Media, fake news fabricator (Trump, 2016 & Trump, 2017). The oppressive establishment news outlets ,uh! Establishment's vassals were caught naked in a dubious deal around our natural resources. Sishangazwi hata kidogo na kelele zao kuwanadi CDM na wewe mleta mada kucheza 'mdundiko' yao.
njoo tena mkuu
 
Mbona wakati wa JK hawakuja kuwekeza kama shida ni nchi kuwa ya kifashisti
Athari ya habari mbaya kama hizi zitaonekana kwenye uwekezaji wa makampuni ya kimataifa.
Hakuna wawekezaji wakubwa wa kimataifa watakaokuja kuwekeze kwenye nchi isiyokuwa kuwa na utawala wa sheria .
Sisi tutabakia na kina Mengi na Bakhressa watuwekee viwanda vya juisi na soda huku wenzentu Kenya wanaunganisha magari na viwanda vya madawa vya kimataifa
Sidhani kampuni kama Samsung,Hitachi,Toyota SmithKline Beecham, Apple Phillips nk watawekeza nchi ya kifashisti
 
Wahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "

Ukifuatilia vyombo vyote vya habari vya kimataifa kama vile BBC, DEUTCH WELLE, ALJAZEERA nk, habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha CHADEMA na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu (kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita)

Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania, hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji na kukua kwa CHADEMA (chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba) katika siasa za kidunia.

Mungu ibariki CHADEMA.
mbona uanaandika kama upo kwa shemeji unasubiri kiive upige msosi
 
Back
Top Bottom